Rasmi Tundu Lissu anahutubia Taifa akiwa Gerezani, CCM mmekwisha

Ila naumia kuona CHADEMA wanajipa matumaini hewa makubwa sana. Wakati mda unazidi kujikatikia.

Nakua mpole ili nijifunze kwa vitendo kutoka kwao,

Yani natamani kuona wanashiriki uchaguzi huku matakwa yao yakiwa yametekelezwa na au wameweza kuzuia uchaguzi kama walivyopanga.

Endapo uchaguzi utafanyika bila wao kuwepo naona watakua wamefeli.
Endapo uchaguz utafanyika na uwepo wao ila bila mabadiriko watakuwa wamefeli.
 
WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.

Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .

Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.

Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.

Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.

Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note

Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi

Unakaanga soda kwa porojo zako.

CCM haiwez ikaangushwa kizembe.
Ikiwa waliweza kuendesha bunge wakiwa na COVID 19
safari hii watatafuta WAATHIRIKA walau 20 . Bunge hilooo.

Na Naona hawatamwacga yule mwanasheria wenu ambae kaend ACT na hawatamwacha Zitto.
 
Lissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,

trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.

henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
Unajua maana ya ugaid

Nadhani hujajua kutofautisha hizi terms mbili; Uhaini (treason) na ugaidi (terrorism) ulichokielezea hapo juu ni ugaidi (terrorism) wakati kesi iliyopo mahakamani ni Uhaini (treason). Una hoja na majibu mazuri sana ila swali lake halijaulizwa au mada yake hapa haipo.
 
Samia na kundi lake walijikusanya ikulu wakimsikiliza mwanaume akitoa hotuba LiVE nchi nzima kutokea mahakamani
Mama hata halina aibu! Yaani hata kama huna akili za kutosha huwezi kuona kabisa kwamba hapo unapoteza muda?
 
Unajua maana ya ugaid

Nadhani hujajua kutofautisha hizi terms mbili; Uhaini (treason) na ugaidi (terrorism) ulichokielezea hapo juu ni ugaidi (terrorism) wakati kesi iliyopo mahakamani ni Uhaini (treason). Una hoja na majibu mazuri sana ila swali lake halijaulizwa au mada yake hapa haipo.
Daah! Umemjibu kistaarabu mpk nakushangaa.
 
Lissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,

trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.

henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
Ukiona hoja imezid uwezo wa ubongo wako wa kuchanganua mambo ni vyema ukaiacha ikupite kushoto kuliko kuonyesha kiwango cha juu cha ujinga ulichonacho kichwani.. Cjui umenipata mkuu??
 
WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.

Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .

Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.

Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.

Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.

Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note

Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
Yuko wqpi hapa!? Machadema bangi zinawasumbua sana.
 
Back
Top Bottom