4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Poor calculations by CCMWanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.
Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .
Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.
Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.
Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.
Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note
Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
SurePoor calculations by CCM
Mkuu umeona mbali sanaHii ndio kesi ambayo mtuhumiwa mwenyewe anaitaka kuliko walio mshitaki
KabisaMungu akikupenda hata utumie watekaji na wauaji atakuchukua tu.
CCM mna kazi sana
Kwel mkuuHuyu jamaa ataingia pale magogoni one day yes... Mafisad yatapelekewa moto zaid ya ule wa jehanam
Elewa mada swala sio ccm kupigiwa Kura au kutopigiwa kura ,swala hapa ni katika mazingira gani , uchaguzi wa huru na haki ndo kipaumbeleKwamba hio ndo sababu CCM haitapigiwa Kura man kuweni serious
Hii mbona imeandikwa na Mungu sema binadam hawajui walitendao, uzuri wa lissu sio mtu wa visasi ,hao wakina (naibu waziri afya ,hawajui Dunia) mda mwalimu utaongea kama hawatakua wa kwanza piga magoti,Lissu is a president to be)Huyu jamaa ataingia pale magogoni one day yes... Mafisad yatapelekewa moto zaid ya ule wa jehanam
Jamani hii koment nimecheka sana walahi koment nyoko ndio hii Sasa .Hii ndio kesi ambayo mtuhumiwa mwenyewe anaitaka kuliko walio mshitaki