Wamemnyima platform kishamba akaichukua platform kiakili kwasasa anatazamwa zaidi kuliko wakati akizurura mikoani akiwahutubia watz wajinga kuhusu MRNE huku vyombo vyote havimtangazi. ILA SASA WANAMJENGA KWA MIKONO YAO MUNGU MKUBWA SIASA AKILI.Samia na kundi lake samejikusanya ikulu wanamsikiliza mwanaume akitoa hotuba LiVE nchi nzima kutokea mahakamani
Hii comment natamanni ikae font page kwenye kila uzi wa hii kesi hahaahhaHii ndio kesi ambayo mtuhumiwa mwenyewe anaitaka kuliko walio mshitaki
Ukisikia Mungu hufanya njia pasipo njia, ndiyo hii sasa.ILA SASA WANAMJENGA KWA MIKONO YAO MUNGU MKUBWA SIASA AKILI
.😂😂😂😂 dah uyu jamaa 🔥🔥🔥🔥 wamuache tu uyu jamaa sheria anaiujua mpaka sheria yenyewe pia inamtambua
🤣🤣😃😃Jamaa anaupiga mwingi hadi unamwagika. Yule bibi mwenye foo mbonyeza kisogo ana hali mbaya sana, ajifunze kwa Mbowe.
Yaani mpaka aibu, serikali imefungua kesi na inaokoteza ushahidi...WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.
Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .
Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.
Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.
Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.
Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note
Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
sikuhizi EU hawaendi tena mahakamani, martha karua nae sijui kajizeekea wapi, yule aliyefrwa naona attention ya media hamna tenaWamemnyima platform kishamba akaichukua platform kiakili kwasasa anatazamwa zaidi kuliko wakati akizurura mikoani akiwahutubia watz wajinga kuhusu MRNE huku vyombo vyote havimtangazi. ILA SASA WANAMJENGA KWA MIKONO YAO MUNGU MKUBWA SIASA AKILI.
sikuhizi EU hawaendi tena mahakamani, martha karua nae sijui kajizeekea wapi, yule aliyefrwa naona attention ya media hamna
---Hii ndio kesi ambayo mtuhumiwa mwenyewe anaitaka kuliko walio mshitaki
Sasa Trump hakuwa rais wakati anapigwa risasi kwahiyo ilikuwa ni uhaini ule?Lissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,
trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.
henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
Hahahahaa!WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.
Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .
Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.
Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.
Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.
Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note
Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
Jamaaa anawatia vidole vya macho CCM na Mahakama zake hadi rahaWanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.
Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .
Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.
Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.
Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.
Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note
Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
Hayo uliyoyataja hapo juu sio uhaini bali ni ugaidi.Lissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,
trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.
henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.
Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .
Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.
Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.
Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.
Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note
Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
Marekani wanachukulia matukio haya kama ugaidi wa ndani (domestic terrorism) ama ugaidi wa nje kulingana na tukio.eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,
trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote.
Yaani utafikiri hayuko mahakamaniWanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.