WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.
Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .
Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.
Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.
Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.
Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note
Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
Wewe kawatibu manesi wako kwanza then njooHahahahaa!
Ndo kusema nyumbu hamna kazi kabusaaaaa!
Acha Mungu mkuu aitwe Mungu, pasipo na njia ananyosha njiaHii ndio kesi ambayo mtuhumiwa mwenyewe anaitaka kuliko walio mshitaki
Ndugu, CCM watapigiwa KULA lkn hawatapigowa KURA. elewa hillKwamba hio ndo sababu CCM haitapigiwa Kura man kuweni seriou
Unajua maana ya ugaidLissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,
trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.
henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
Nadhani hujajua kutofautisha hizi terms mbili; Uhaini (treason) na ugaidi (terrorism) ulichokielezea hapo juu ni ugaidi (terrorism) wakati kesi iliyopo mahakamani ni Uhaini (treason). Una hoja na majibu mazuri sana ila swali lake halijaulizwa au mada yake hapa haipo.Lissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,
trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.
henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
Mama hata halina aibu! Yaani hata kama huna akili za kutosha huwezi kuona kabisa kwamba hapo unapoteza muda?Samia na kundi lake walijikusanya ikulu wakimsikiliza mwanaume akitoa hotuba LiVE nchi nzima kutokea mahakamani
Daah! Umemjibu kistaarabu mpk nakushangaa.Unajua maana ya ugaid
Nadhani hujajua kutofautisha hizi terms mbili; Uhaini (treason) na ugaidi (terrorism) ulichokielezea hapo juu ni ugaidi (terrorism) wakati kesi iliyopo mahakamani ni Uhaini (treason). Una hoja na majibu mazuri sana ila swali lake halijaulizwa au mada yake hapa haipo.
Ukiona hoja imezid uwezo wa ubongo wako wa kuchanganua mambo ni vyema ukaiacha ikupite kushoto kuliko kuonyesha kiwango cha juu cha ujinga ulichonacho kichwani.. Cjui umenipata mkuu??Lissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,
trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.
henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
Yuko wqpi hapa!? Machadema bangi zinawasumbua sana.WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.