Rasmi: Tundu Lissu kuingia ofisini Makao Makuu Mikocheni 29/01/2025

CHADEMA wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana macho na roho, mnagombaniana madaraka kama vita, yaani Tundu Lissu ana walinzi kama yuko Sudan au Somalia, kisa mnashindwa kuaminiana.. Hivi tunajiuliza CHADEMA mkipewa nchi si mtauza kila kitu, tamaa yenu ni mbaya sana, ulafi wa ajabu, huko kanda ya Nyasa tuliona uchaguzi wa aibu kabisa. CHADEMA mmeprove failure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…