Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Akina 7baya bado wako.mtaani Braza na wasiojulikana hadi leo Tanpol na wao hawajui.CHADEMA wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana macho na roho, mnagombaniana madaraka kama vita, yaani Tundu Lissu ana walinzi kama yuko Sudan au Somalia, kisa mnashindwa kuaminiana.. Hivi tunajiuliza CHADEMA mkipewa nchi si mtauza kila kitu, tamaa yenu ni mbaya sana, ulafi wa ajabu, huko kanda ya Nyasa tuliona uchaguzi wa aibu kabisa. CHADEMA mmeprove failure kabisa.
Tundu Lissu sio mjinga