Hata hilo Mrs. Hafidh ni jina la Nyumbani, kuna majina yanatumika nyumbani na hayapaswi kutumika kikatiba au ofisini, kwa mfano mtu akikuita wewe ofisini kwako, wewe mpenzi wangu njoo hapa au wewe mkwe wangu mambo au wewe Mke wa Joka Kuu njoo hapa, hayo sio majina ya kikazi au ofisini au kikatiba, hapaswi mtu kuitwa hivyo kikazi..
Kikazi au Kikatiba ni Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, hayo majina mengine ni kukejeliana, na vitu kama hivi ndio inaonyesha dharau kubwa wazi wazi kwa viongozi na nikwambie Mh. Rais ni binadamu kama mimi na wewe, hakuna mtu anapenda dharau kabisa, achilia mbali binadamu, hata Mwenyezi Mungu ukimletea dharau utakiona cha mtema kuni. Na msije mkadhania sbb ni mwanamke labda mkafanya dharau, mtapitia magumu sana.
Hivyo nasisitiza, CHADEMA acheni dharau, ni mbaya sana.