Rasmi: Tundu Lissu kuingia ofisini Makao Makuu Mikocheni 29/01/2025

Rasmi: Tundu Lissu kuingia ofisini Makao Makuu Mikocheni 29/01/2025

Nadhani katiba ya Chadema inampa Nafasi mwenyekiti kuitisha Uchaguzi wkt wwte!! asione aibu watafutane na nduguye Mbowe wamalize tofaut Lisu agombee umakam kama alivokuwa na Mbowe agombee Uwenyekiti

Chama kitalejea kwenye nguvu zake lkn jinsi mambo yalivo sasa Wajumbe Watajilaumu mapemaa Asubui mkono mtupu kwenye Siasa ngumu !!! kwa uwelewa wangu Chadema itapungua mvuto mambo yakibaki ivi!!!
 
CHADEMA wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana macho na roho, mnagombaniana madaraka kama vita, yaani Tundu Lissu ana walinzi kama yuko Sudan au Somalia, kisa mnashindwa kuaminiana.. Hivi tunajiuliza CHADEMA mkipewa nchi si mtauza kila kitu, tamaa yenu ni mbaya sana, ulafi wa ajabu, huko kanda ya Nyasa tuliona uchaguzi wa aibu kabisa. CHADEMA mmeprove failure kabisa.
Hatuwezi kuwapa nchi Genge la wahuni hilo.
 
Dr Slaa Yuko Keko, club house wamepiga kimya!!
TAL hata kwenda kumjulia Hali hakuna???😕
Dr Slaa hajulikani yupo upande upi.
Slaa huyu huyu alietunga kitabu akidai Lissu ni mtu baki tu,mfitini,na msema ovyo.
Unategemea Lissu ampaishe Slaa mtu aliyemsaga saga kwenye kitabu chake?
 
Dr Slaa Yuko Keko, club house wamepiga kimya!!
TAL hata kwenda kumjulia Hali hakuna???😕
huyo mzee kila kona hatakiwi anajipendekeza kwa upinzani hawamtaki ccm nako hawamtaki ndiyo maana anakula janga lake mwenyewe pekeyake na atahenya mwaka huu wenzie wanasherehekea ushindi wa lissu kumbwaga mume wa erythrocyte
 
Dr Slaa hajulikani yupo upande upi.
Slaa huyu huyu alietunga kitabu akidai Lissu ni mtu baki tu,mfitini,na msema ovyo.
Unategemea Lissu ampaishe Slaa mtu aliyemsaga saga kwenye kitabu chake?
acha ale mateso ya kujifanya msagaji kunguni atahenya
 
Back
Top Bottom