4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kazi ianze sasaTaarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
wawe makini huko, viti aende navyo vipya, wahudumu wapya, mapazia mapya, kila kitu awe cautious. ni ushauri tu.Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
..ulinzi wa Mama Abduli umeuona?
..zoezi la kumpitisha Mama Abduli kuwa mgombea limefuata taratibu?
Chawa wa mbowe vipiHaya
Alafu muwe na heshima walau kidogo, Mama Abdul ni nani?
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa JMT na ni Rais halali, hayo majina mengine mnamuita sio rasmi na hayapo kikatiba na mnafanya dharau kwa Mh. Rais, au sbb ni mwanamke mnafanya dharau ya wazi wazi? Mama Abdul hilo jina lipo wapi kikatiba? Haya majina mnaita kwa dharau, na hii tabia mbaya sana, niseme tu, Mh. Rais ana madaraka makubwa mno na acheni hizi dharau kabisa.
Jina la Yesu linatumika kibwege sanawawe makini huko, viti aende navyo vipya, wahudumu wapya, mapazia mapya, kila kitu awe cautious. ni ushauri tu.
Tayari kwa kuvinukisha kwenye nyumba ya kijaniTaarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
Aandike Dar es Salaam, siyo Dar Es salaamTaarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
..basi Mrs.Hafizi itapendeza.
..kama unasikia uchungu kupigwa kijembe, fikiria machungu ya kupigwa risasi, au kuuwawa wanayopitia wapinzani.
Hata hilo Mrs. Hafidh ni jina la Nyumbani, kuna majina yanatumika nyumbani na hayapaswi kutumika kikatiba au ofisini, kwa mfano mtu akikuita wewe ofisini kwako, wewe mpenzi wangu njoo hapa au wewe mkwe wangu mambo au wewe Mke wa Joka Kuu njoo hapa, hayo sio majina ya kikazi au ofisini au kikatiba, hapaswi mtu kuitwa hivyo kikazi..
Kikazi au Kikatiba ni Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, hayo majina mengine ni kukejeliana, na vitu kama hivi ndio inaonyesha dharau kubwa wazi wazi kwa viongozi na nikwambie Mh. Rais ni binadamu kama mimi na wewe, hakuna mtu anapenda dharau kabisa, achilia mbali binadamu, hata Mwenyezi Mungu ukimletea dharau utakiona cha mtema kuni. Na msije mkadhania sbb ni mwanamke labda mkafanya dharau, mtapitia magumu sana.
Hivyo nasisitiza, CHADEMA acheni dharau, ni mbaya sana.
Wewe mchaga punguza chuki ndio maana mnawauaga waume zenu, tena wewe utakuwa mmachame (mpalestina) siyo kwa roho mbaya hiiDr Slaa Yuko Keko, club house wamepiga kimya!!
TAL hata kwenda kumjulia Hali hakuna???😕
Zikaguliwe vizuri hizo ofisi. Ni wazo tuTaarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
Achana na hizo sanaa za kina Slaa we jali yako.Dr Slaa Yuko Keko, club house wamepiga kimya!!
TAL hata kwenda kumjulia Hali hakuna???😕
Iv Jerry Wana uhusiano na lissu!? ni swali tuJerry Muro atakuwepo!