Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Akina 7baya bado wako.mtaani Braza na wasiojulikana hadi leo Tanpol na wao hawajui.CHADEMA wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana macho na roho, mnagombaniana madaraka kama vita, yaani Tundu Lissu ana walinzi kama yuko Sudan au Somalia, kisa mnashindwa kuaminiana.. Hivi tunajiuliza CHADEMA mkipewa nchi si mtauza kila kitu, tamaa yenu ni mbaya sana, ulafi wa ajabu, huko kanda ya Nyasa tuliona uchaguzi wa aibu kabisa. CHADEMA mmeprove failure kabisa.
Mission failed mkajipange upyaDaah dokta slaa anateketea baada ya kutumika!
Mkuu hawa jamaa wa chadomo hakuna mtu ambaye atasalimika kwa matusi na kejeli zao. Wote tunakumbuka namna walivyomdhalilisha mwenyekiti wao.Alafu muwe na heshima walau kidogo, Mama Abdul ni nani?
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa JMT na ni Rais halali, hayo majina mengine mnamuita sio rasmi na hayapo kikatiba na mnafanya dharau kwa Mh. Rais, au sbb ni mwanamke mnafanya dharau ya wazi wazi? Mama Abdul hilo jina lipo wapi kikatiba? Haya majina mnaita kwa dharau, na hii tabia mbaya sana, niseme tu, Mh. Rais ana madaraka makubwa mno na acheni hizi dharau kabisa.
Chadema haina hayo mambo ya kishirikinaZikaguliwe vizuri hizo ofisi. Ni wazo tu
Hee hamumuamini hata Mnyika, hiki chama kimeshapoteana.Zikaguliwe vizuri hizo ofisi. Ni wazo tu
Punguza bangi, baada ya uchaguzi umesikia nini? Kwa nini usimseme yule aliyewakusanya machawa wote akawafanya mazuzu akajipitisha kugombea?CHADEMA wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana macho na roho, mnagombaniana madaraka kama vita, yaani Tundu Lissu ana walinzi kama yuko Sudan au Somalia, kisa mnashindwa kuaminiana.. Hivi tunajiuliza CHADEMA mkipewa nchi si mtauza kila kitu, tamaa yenu ni mbaya sana, ulafi wa ajabu, huko kanda ya Nyasa tuliona uchaguzi wa aibu kabisa. CHADEMA mmeprove failure kabisa.
Huyo mama wa kimachame bado ana hasira muache kwanzaCcm wana roho nzuri sana
Hawajapiga kimya tena wanaongelea almost everydayDr Slaa Yuko Keko, club house wamepiga kimya!!
TAL hata kwenda kumjulia Hali hakuna???π
Joyce Mukya una gubu sanaAende na pesa
Ofisi ya makao makuu Chadema sio kioo cha kuuza sura kama ubeligiji
Mbowe alikuwa akiingia ofisini haendi kuuza sura au kuchonga mdomo tu anaenda na pesa
Aliacha noti za kuchangia chama kwa ajili ya uendeshaji na malipo ya Wafanyakazi
Wafanyakazi pale hawahitaji hotuba wanataka kulipwa mishahara yao nk
Ushujaa wa Magufuli nini, au kumbangua Ben Saanane risasi ya kichwa Ikulu?Dr slaa ni mwana CCM toka 2015, kumkana Dr ni kupuuza legasi ya Shujaa Magufuli Uhuru wa maoni uheshimiwe aachiwe bila masharti
Lisu inamuhusu nini? Wewe umekwenda kumjulia hali?Dr Slaa Yuko Keko, club house wamepiga kimya!!
TAL hata kwenda kumjulia Hali hakuna???π
Waambie ccm warudishe mabus kwa wenyewe walionunua..Yeriko Nyerere atanuna π
Lisu inamuhusu nini? Wewe umekwenda kumjulia hali?
Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
Dr Slaa Yuko Keko, club house wamepiga kimya!!
TAL hata kwenda kumjulia Hali hakuna???π
Mropokaji mwenzake TLNani alimtuma kuongea yale maneno
Ata mbowe uyu mzee alimnanga wkt mbowe yuko kwenye kesi ya UGAID !!! Lkn uyu mzee njaa tu wampe kicheo chochote atulie"Shambulio la Lissu ni la kawaida....'" Balozi Dkt Sla
Mzalendo wa kumkashifu mlezi na kiongozi wake MboweKila la kheri mzalendo wa kweli