The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama.
Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha π π€£ π π
Dunia simama nishuke hii ndo Tanzania wazanibar siyo watu ni wanafiki na nusu. Hamna shida tutafika tu mdogo mdogo press ya polepole inatafutiwa maigizo mengi sana.
Hata wakizuiwa kufanya siasa haisaidii kwa sababu wao watazuia uchaguzi, hapo ngoma droo.GT
Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama.
Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha π π€£ π π
Dunia simama nishuke hii ndo Tanzania wazanibar siyo watu ni wanafiki na nusu. Hamna shida tutafika tu mdogo mdogo press ya polepole inatafutiwa maigizo mengi sana.
Pole sana, najua hata mwenyewe hujui ulichokiandika. Labda ongeza kwanza chuki Yako kwa hao wazanzibar pengine utapata Cha kuandikaGT