Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameshatolewa tayari wajiandae na msimu 2022/23Wacheza Ndombolo round ya awali tu chaliii.
Shule za awali 🤣🤣🤣🤣Matches za Utangulizi 🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani licha caf kuitambua yanga kama timu ndogo kwa kuanzia hatua za awali wakaona haitoshi, ni timu ndogo zaidi iansie home kisha ikauliwe away...🤣🤣🤣🤣Google mkuu. CAF anaihujumu Yanga.
Jwaneng Galaxy ni ya Botswana angalia Bendera hiyo.19,20 ni timu za nchi gani hizo
Tuliza kishundu hicho uzae salama wewe, kwa Wanigeria hamtoboi mtamanuliwa mchana kweupeeeeeeMatch hata hazijaanza mikia mmeanza kuumia..
Hasa hilo tahira lililoweka Avatar ya mwamedi..
Si ndio zitakutana na Simba sc eeenh mmoja wapoJwaneng Galaxy ni ya Botswana angalia Bendera hiyo.
Hiyo Nyingine ni ya Central African Republic.