Rasmi Yanga kuchuana na Rivers ya Nigeria

Caf sijui ktk awamu hii hutumia vigezo gani.

Sidhani kama kuna droo Maalum kwny kuandaa hizi early fixtures.

Mbona Vilabu wawakilishi wa Tanzania hupangwa ktk raundi ya awali na timu kutoka nchi zilezile kila mwaka?

Na kwanini ikichomoka hapo lazima ikutane na timu kutoka misiri, algeria au tunis?

Afrika ina mataifa 55,

Kwanin hatujawahi kuviona nchini vilabu kutoka nchi mathalan;
Gabon, Namibia,Togo,Cameroun Niger,Burkinafaso,
Senegal,Chad,Mali,
Guinea,Siera leone Cape verde, au Gambia.

In 30 years as reference, nani ameona timu yoyte ktk hizo nchi ikipangwa nasi,. na hizo ni kwa uchache tu.
 
Relax, pambana ushinde, beat the best to become the best!
Vidhaifu havitakusaidia!
 
Caf sijui ktk awamu hii hutumia vigezo gani.

Sidhani kama kuna droo Maalum kwny kuandaa hizi early fixtures.

Mbona Vilabu wawakilishi wa Tanzania hupangwa ktk raundi ya awali na timu kutoka nchi zilezile kila mwaka?

Na kwanini ikichomoka hapo lazima ikutane na timu kutoka misiri, algeria au tunis?

Afrika ina mataifa 55,

Kwanin hatujawahi kuviona nchini vilabu kutoka nchi mathalan;
Gabon, Namibia,Togo,Cameroun Niger,Burkinafaso,
Senegal,Chad,Mali,
Guinea,Siera leone Cape verde, au Gambia.

In 30 years as reference, nani ameona timu yoyte ktk hizo nchi ikipangwa nasi,. na hizo ni kwa uchache tu.
mmeanza malalamiko?
 
Mwamba ngoma huvutia kwake, waarabu baada ya kuona wanafungwa sana na simba wakaanza kuwakimbia, dawa ni kupambana tu, no way.
 
Caf sijui ktk awamu hii hutumia vigezo gani.

Sidhani kama kuna droo Maalum kwny kuandaa hizi early fixtures.

Mbona Vilabu wawakilishi wa Tanzania hupangwa ktk raundi ya awali na timu kutoka nchi zilezile kila mwaka?

Na kwanini ikichomoka hapo lazima ikutane na timu kutoka misiri, algeria au tunis?

Afrika ina mataifa 55,

Kwanin hatujawahi kuviona nchini vilabu kutoka nchi mathalan;
Gabon, Namibia,Togo,Cameroun Niger,Burkinafaso,
Senegal,Chad,Mali,
Guinea,Siera leone Cape verde, au Gambia.

In 30 years as reference, nani ameona timu yoyte ktk hizo nchi ikipangwa nasi,. na hizo ni kwa uchache tu.
Sio kweli. Mbabane swallows ( swaziland) , ud songo (msumbiji) ,Zesco (zambia), nkana(zambia), Township rollers (botswana) , platinum (zimbabwe) n.k zimekuja hapa nchini miaka ya karibuni kwa hatua za awali au kuelekea group stage.Pia timu za Djibout , Shelisheli, Comoro zimekuja sana hapa nchini. Sasa wewe unataka upangwe na nani? Jengeni timu acheni visingizio.
 
Nimecheka sana comments za watu humu. Lol.
20210814_07000288327.jpg

kwanza chukua matokeo ya Rivers. Pelekeni timu mkaaibike. Na hivi tunasikia mmelipiwa na mwarabu basi mtarudi Morocco mmelegea sana
 
Back
Top Bottom