Rasmi Yanga kuchuana na Rivers ya Nigeria

Rasmi Yanga kuchuana na Rivers ya Nigeria

Ratiba ya hatua ya awali Car champions League ni Kama ifuatavyo.

Kama Yanga atafanikiwa kusonga mbele basi atakutana na mshindi Kati ya Fasil Kenema ya Ethiopia na Al Hilal ya Sudan katka round ya pili ya mtoano .


View attachment 1891206
Sisi Yanga tunawalaani tff kwa kuhonga CAF ili tupangiwe timu ngumu km hii. Ole wenu tutolewe raundi ya kwanza.
 
Back
Top Bottom