Rasmi Yanga kuchuana na Rivers ya Nigeria

Rasmi Yanga kuchuana na Rivers ya Nigeria

Caf sijui ktk awamu hii hutumia vigezo gani.

Sidhani kama kuna droo Maalum kwny kuandaa hizi early fixtures.

Mbona Vilabu wawakilishi wa Tanzania hupangwa ktk raundi ya awali na timu kutoka nchi zilezile kila mwaka?

Na kwanini ikichomoka hapo lazima ikutane na timu kutoka misiri, algeria au tunis?

Afrika ina mataifa 55,

Kwanin hatujawahi kuviona nchini vilabu kutoka nchi mathalan;
Gabon, Namibia,Togo,Cameroun Niger,Burkinafaso,
Senegal,Chad,Mali,
Guinea,Siera leone Cape verde, au Gambia.

In 30 years as reference, nani ameona timu yoyte ktk hizo nchi ikipangwa nasi,. na hizo ni kwa uchache tu.
Hii comment wanasimba wakiiona afu wakikumbuka Libolo ya Angola,wanasema heeee.
 
Usishtuke ndio timu bora kati ya vilabu kumi bora Africa
Unasahau kabisa Al Ahly yalimkuta yapi mbali na ubora wake alipocheza na Bayern Munich.

Kama huo ubora mnao sio wa kupambana na team za Europe.
 
Mtapata tabu sana mwaka huu Mtani.

"DaimaMbeleNyumaMwiko
Hapo kwenye mwiko nyuma ndo pahara sahihi pa Yanga.....Na mtafute mafuta ya kuutolea maana wana nigeria wataukandamiza sana mtani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
pre season huwa mnakuwa na machepele kama haya. Tukutane TFF kwenye dirisha la malalamiko
IMG-20191204-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom