Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Sijui mkuu sina hakika sana.Si ndio zitakutana na Simba sc eeenh mmoja wapo
Ila kwa kuzingatia jiografia inawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mkuu sina hakika sana.Si ndio zitakutana na Simba sc eeenh mmoja wapo
Bado unandoto za mchana
Ndoto kwa tulio hai ni kawaidaBado unandoto za mchana
Labda ½ finali ya Nyeto.Naiona Yanga ikifika ½ fainali[emoji172][emoji169][emoji123]
VijiduduShule za awali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini Simba alishinda tena ugenini. Baada ya hii ratiba kutoka, stimu za usajili wa utopolo zimekata kabisaCaf wameshanogewa kupambanisha timu za Tanzania dhidi ya Nigeria. Msimu uliopita Simba walianza na plateau ya Nigeria
safi sanaaMungu ibariki Mbeya City na Mbeya Kwanza
acha ufaraLabda ½ finali ya Nyeto.
Ufara ndiyo Mchezaji mpya wa uto ?acha ufara
subiri wakati ufike wanigeria chaliiUfara ndiyo Mchezaji mpya wa uto ?
Zamu hii mtawapa kwa kulala chali kifo cha Mende?subiri wakati ufike wanigeria chalii