Rasmi Yanga kuchuana na Rivers ya Nigeria

Hii comment wanasimba wakiiona afu wakikumbuka Libolo ya Angola,wanasema heeee.
 
Usishtuke ndio timu bora kati ya vilabu kumi bora Africa
Unasahau kabisa Al Ahly yalimkuta yapi mbali na ubora wake alipocheza na Bayern Munich.

Kama huo ubora mnao sio wa kupambana na team za Europe.
 
Mtapata tabu sana mwaka huu Mtani.

"DaimaMbeleNyumaMwiko
Hapo kwenye mwiko nyuma ndo pahara sahihi pa Yanga.....Na mtafute mafuta ya kuutolea maana wana nigeria wataukandamiza sana mtani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…