Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

Bado naendelea kuwa na wasi wasi na ufahamu wako wa mpira wa bongo

Dar es salaam Young Africans = 27 tittles

Simba SC = 21 tittles

Na pia nina wasi wasi kama utaweza kuelewa nilichokiandika hapa.

Sina mashaka na chama langu simba
Nyie pambanen na historia sisi tuko tunavunja rekodi kila uchwao [emoji1787][emoji1787]
13 ranki za Caf
Nyie manyumb fc mko nafasi ya ngapi?
 
Kwani Amis Tambwe na Carlos Guimares Carlinho wate walipokelewa kwa maandamano ya kinyumbu nyumbu na kitembo tembo na kiboko boko si wameondoka..?

Kunywa maji sasa utulie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yanga fanyeni yote ,mwisho wa siku sisi tunataka mfike makundi ligi ya mabingwa


Hadhi ya Klabu kama Yanga SC ina vipimo tofauti sana vya kupima mafanikio.

Kuna timu zingine mafanikio yao yanapimwa kwa kufika hatua ya kufika nusu fainali au robo fainali.

Kuna baadhi ya timu hazizingatii hayo kama ni sehemu ya mafanikio. Kwao mafanikio ni mpaka pale watwae taji. Haijalishi itachukua miaka mingapi.
 
Sina mashaka na chama langu simba
Nyie pambanen na historia sisi tuko tunavunja rekodi kila uchwao [emoji1787][emoji1787]
13 ranki za Caf
Nyie manyumb fc mko nafasi ya ngapi?
Hiyo ndio tofauti yenu na sisi!

Yaani kelele zote zile z akumfunga AS Vita hii leo mnashangilia kushika nafasi ya 13?

Yaani nafasi ya 13 ndio imekua mafanikio yenu baada ya uwekezaji wa Billion 20..?

Mungu aniepushie akili hizi.
 
Hiyo ndio tofauti yenu na sisi!

Yaani kelele zote zile z akumfunga AS Vita hii leo mnashangilia kushika nafasi ya 13?

Yaani nafasi ya 13 ndio imekua mafanikio yenu baada ya uwekezaji wa Billion 20..?

Mungu aniepushie akili hizi.

Nafasi ya 13 ni moja ya mafanikio yetu pamoja na kufika robo fainali ambayo imesaidia ongezeko la ushiriki kkwa timu nne kwenye mashindano ya Caf
kwani nyie utopolo fc aka nyumbu fc mko nafasi ya ngapi?
 
Tangu asajiliwe na simba amebeba ndoo ngapi?

Kwa hiyo asa hivi atuzungumzii Majeruhi ya Kapombe aliyokuwa akiyapata huko kwingine, tuna zungumzia Mataji yake si ndio?

Sasa vivyo hivyo tuanze kuzungumzia idadi ya mataji ambayo Djuma atabeba kwa muda wa miaka 4 na tuache kuzungumzia majeruhi aliyokua nayo kule Congo.
 

Hayo ni yako
Nimekuliza kapombe tangu asajiliwe na simba akitokea azam ana mataji mangapi na majeruhi yake?
 
Hayo ni yako
Nimekuliza kapombe tangu asajiliwe na simba akitokea azam ana mataji mangapi na majeruhi yake?
Kumbe na nyinyi mlisajili Kapombe akiwa injury prone. Ila cha kushangaza hamtaki Yanga SC asajili injury prone si ndio?
 
Vita na yanga ni ndugu,never simba haitaweza kupata mcezaji kutoka vita
 
Vita na yanga ni ndugu,never simba haitaweza kupata mcezaji kutoka vita
Tshishimbi anataka kurudi Bongo. Mkude anaugua Ukichaa, Manara next week atarudi Congo kukamilisha dili la Tshishimbi. Mkude kuna uwezekano akaelekea Azam FC,
 
Umeeleweka vema Juma na kapombe ni kumchanganya sana kocha
 
Ni Juma shabani mkuu
 
Maji ya jioni haya misimu yake miwili tu chali na ivi kashaanza kuwa na majeraha
 
Simba hii hii iliyowanyang'anya Morrison ndio mnaizidi au Simba ipi?

Nyie fanyeni usajiri kwa Makini Ili TFF wapumue kwa Malalamiko yenu
 
Je wajua kuwa Makapu ana mataji Mengi kuliko hao wenzake?

By the way, rudi nyuma kidogo ujue kwanini nimerespond na hiyo quote.
Unaongelea mataji au Kupata nafasi ya kucheza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…