29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,975
- 8,270
Waulize meneja wa uwanja na al masrySafari hii mtakileta au mtakimbia tena??
Waulize meneja wa uwanja na al masrySafari hii mtakileta au mtakimbia tena??
Upo mashindano ya akina mama ila kelele nyingi.Andika Yanga Imefuzu kwenda kulitia aibu taifa kwenye mashindano ya club bingwa
Chupu chupu ndo kitu gani?! Ila simba jana aliponea puchu puchuWameponea chupuchupu
Club ya Simba ni no.4 kwa ubora barani AFRICA just imagine 😃Kuna aibu kubwa kuishinda ya kucheza kombe la loser badala ya ligi ya mabingwa?
Utopolo mko mashindano gani? crdibii au?Upo mashindano ya akina mama ila kelele nyingi.
Raisi wetu alisema tutakolifai
View attachment 3299511Hahaha wala mihogo ni tatizo sana
Kufuatia ushindi wake wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Azam FC hivi punde, sasa ni rasmi kuwa Yanga omefuzu kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika kwa msimu wa 2025/2026.
Ushindi huo wa Yanga unaifanya kufikisha alama 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote, isipokuwa Simba.
Kikomo kinachoweza kufikiwa na Azam ni alama 63 huku Singida Black Stars ikikomea kwenye alama 62 endapo timu hizo zitashinda mechi zao zote 4 zilizosalia.
Tayari Yanga ameshajihakikishia nafasi ya 1 au ya 2 na hivyo kupata tiketi ya kushiriki michuano hiyo mikubwa barani Afrika.
Kongole wananchi!
Una kombe gani la CAF?Club ya Simba ni no.4 kwa ubora barani AFRICA just imagine 😃
Kwenye best loosers a.k.a kombe la mabibi kama hawataibuka mabibgwa wa NBC premier league 2025Andika Yanga Imefuzu kwenda kulitia aibu taifa kwenye mashindano ya club bingwa
Mishangazi aka mama la mama mko sawa sawa?Kuna aibu kubwa kuishinda ya kucheza kombe la loser badala ya ligi ya mabingwa?
Lako liko wapiUna kombe gani la CAF?
Punguza mikasirikoUna kombe gani la CAF?
Au anataka kusema medali (kamba) ni kombe!Lako liko wapi
Simba ndiyo timu ya CCM. Jana wamepewa milioni 30 na hao ccm, wanakenua tu meno.Yanga = Ccm
Kwasababu tabia zao zinafanana.
Sawa nimepunguza.Punguza mikasiriko
Tuna kamba medeliSawa nimepunguza.
Kwa utuvu na upole kabisa nakuuliza.
Una kombe gani la CAF?
😂😂😂😂😂Na mabingwa hao wa Jangwani wanaojiandaa kuwakabili Real Madrid katika mechi yao ya mkondo wa kwanza iliyopangwa kuanzia nyumbani kufuatia ukubwa wao wa rank kuwa juu kuliko Madrid.