Hivi mkuu issue haswa ya saido ni nn? Kunani huko ndani?Kila la kheri huko aendako, juzi ilikuwa kidogo atuchomee ila alistukia!.
Nampenda Saido, DTB itamfaa zaidi.Makolo chukueni mali hiyo
.....Ili kumpisha BM3
chief mimi ni simba ila huyu jamaa nifundi haswa, hata kwamfano azizi ki akija yanga hawezi kuoffer alichokuwa anakifanya saido sababu azizi ki ni typical no.10 ila saido anaweza cheza akitokea kushoto, kulia au katikati...saido nikimuangalia staili yauchezaji wake ananikubusha mtu kama iniesta au santi carzola....ila azizi ki nimtu wakustick eneo moja kama shinji kagawa namba zaidi eneo analocheza yeye ndio fei toto anacheza kazi ipo....hapo yanga bila kupepesa macho mmepoteza jembe!Duhh mpira hauna adabu...huyu jamaa ni bonge la play maker na ni game changer OG...
Dah...nilitamani sana kuona spirit yake champions league...
Miguu yake ina mambo mengi SANA hasa pasi ya mwisho...
Anyway pigo katika ligi yetu kumkosa mtu kama huyu...hakika wachezaji wetu vijana wana mengi kujifunza kupitia mpira wake ndani ya Yanga....
Uwezo wa kuliendea goli bila ya kusita ni mkubwa mno...
Hakika vilabu vya mpira mitihani hana sana...
Technical bench linajua zaidi.
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
inawezekana labda ye ndo kazinguaHii sio fair kabisa, sijui kwanini Yanga yangu ipo hivi, mchezaji kachangia mafanikio msimu huu afu kombe hili hapa anaachwa,
Imeshindikana kumuongeza miezi miwili?
Hana nidhamu uyo wacha aende tuHii sio fair kabisa, sijui kwanini Yanga yangu ipo hivi, mchezaji kachangia mafanikio msimu huu afu kombe hili hapa anaachwa,
Imeshindikana kumuongeza miezi miwili?
Kati ya wachezaji tishio niliokuwa nawaogopa pale Yanga ni huyu jamaa. Jamaa alikuwa vzr kwakweli. Yote kwa yote mpira ndivyo ulivyo. Atapata timu nyingine ya kucheza .chief mimi ni simba ila huyu jamaa nifundi haswa, hata kwamfano azizi ki akija yanga hawezi kuoffer alichokuwa anakifanya saido sababu azizi ki ni typical no.10 ila saido anaweza cheza akitokea kushoto, kulia au katikati...saido nikimuangalia staili yauchezaji wake ananikubusha mtu kama iniesta au santi carzola....ila azizi ki nimtu wakustick eneo moja kama shinji kagawa namba zaidi eneo analocheza yeye ndio fei toto anacheza kazi ipo....hapo yanga bila kupepesa macho mmepoteza jembe!
Kwahiyo morisson ndiye mwenye nidhamu?Hana nidhamu uyo wacha aende tu
hasa kwenye kupiga fouls nje ya 18Kati ya wachezaji tishio niliokuwa nawaogopa pale Yanga ni huyu jamaa. Jamaa alikuwa vzr kwakweli. Yote kwa yote mpira ndivyo ulivyo. Atapata timu nyingine ya kucheza .