This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Unakosa weledi. Huyu barua inasema mkataba umeishae leo.So wameachana naye .Yanga hawana longolongo barua imeeleza wazi kabisa hakuna cha mapumziko, hapo anatafutwa mchezaji mwingine mkali zaidi yake
Morrison Ni mali ya Simba hadi mwisho wa msimu. Simba wangesema wamemfukuza,tafsiri yake kimkataba maana yake ni kwamba wamevunja mkataba. Haya mambo yanahitaji u-smartness siyo mhemko km ambavyo umekoment hapa.