King55
Member
- Feb 24, 2021
- 76
- 56
Mwamba wa umalila😅😅 huko bwana uchawi ni sehemu ya maisha yani kawaida tumwaisa mtu mbad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba wa umalila😅😅 huko bwana uchawi ni sehemu ya maisha yani kawaida tumwaisa mtu mbad
Tate mkuu , huo ndiyo ukweli kutoka moyoni. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kama alivyokuwa akijinasibu mtu fulaniAcha uongo wewe mpiga vichwa! Yaani usimuogope Mayele na Fei Toto! Umuogope Saidoo!!
Chiko Ushindi ana kitu mguuni! Ila ndiyo hivyo tena. Majeraha yamechangia kumrudisha nyuma. Iwapo atarudi katika kiwango chake, na mwalimu akampa nafasi! Hakika anaweza kuifanyia Yanga mambo makubwa siku za baadaye.Mkuu vipi kuhusu Chiko Ushindi,Mimi simuelewi kabisa
,😁😁😁😁😁yanga wakifanya vizuri kidogo tu, wanajistukia wanaamua kuharibu timu ili msimu ujao waendelee kufanya vibaya..maana hawajazoea kufanya vizuri kama msimu huu
Halafu ushangae watu kama Balama,Chico,Yacouba wapo tu...Hii sio fair kabisa, sijui kwanini Yanga yangu ipo hivi, mchezaji kachangia mafanikio msimu huu afu kombe hili hapa anaachwa,
Imeshindikana kumuongeza miezi miwili?
Lakini tokea alipojaribu kumpanga hajawahi kumwacha tenaKila la heri kwake,japo amekuwa na mchango mkubwa msimu huu ila Nabi tangu mwanzo hajawahi kumkubali
Mtu kapewa mkataba wa mwaka 1 hataki anataka miaka 2 viongozi wangefanya nini tena kwa umri wake ule? Bado anahitajika sana ila wameshindwa kubalianaHii sio fair kabisa, sijui kwanini Yanga yangu ipo hivi, mchezaji kachangia mafanikio msimu huu afu kombe hili hapa anaachwa,
Imeshindikana kumuongeza miezi miwili?
Hilo halina ubishi kabisa, mafanikio ya Yanga 💚💛 msimu huu mchango mkubwa sana katoaLakini tokea alipojaribu kumpanga hajawahi kumwacha tena
Ktk hii form ya Unbeaten Yanga msimu huu Tibazonkiza ana mchango mkubwa tu
Bwana wa kabwili uyoDuhh mpira hauna adabu...huyu jamaa ni bonge la play maker na ni game changer OG...
Dah...nilitamani sana kuona spirit yake champions league...
Miguu yake ina mambo mengi SANA hasa pasi ya mwisho...
Anyway pigo katika ligi yetu kumkosa mtu kama huyu...hakika wachezaji wetu vijana wana mengi kujifunza kupitia mpira wake ndani ya Yanga....
Uwezo wa kuliendea goli bila ya kusita ni mkubwa mno...
Hakika vilabu vya mpira mitihani hana sana...
Technical bench linajua zaidi.
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Asante saidoo kwa kila kitu
Alitaka usajiki wa miaka 2 yanga walimpa mwaka mmoja,ni hicho tu walichopishaniaHivi mkuu issue haswa ya saido ni nn? Kunani huko ndani?
hehehe kule kwa muhindi ingewezekana iyo miez 2Hii sio fair kabisa, sijui kwanini Yanga yangu ipo hivi, mchezaji kachangia mafanikio msimu huu afu kombe hili hapa anaachwa,
Imeshindikana kumuongeza miezi miwili?
Hahaaa, eti ubao wa kukatia kashataSababu amechoka kuchanjwa Chale,anasema mgongo wake umekuwa kama ubao wa kukatia kashata[emoji3][emoji3].
Ana kiburi na dharau.Ni vile tu Yanga ni wavumilivu angeishaondoka kitambo huyuHii sio fair kabisa, sijui kwanini Yanga yangu ipo hivi, mchezaji kachangia mafanikio msimu huu afu kombe hili hapa anaachwa,
Imeshindikana kumuongeza miezi miwili?