Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Mkataba wake umeisha leo.. aliambiwa akutwe Dar' Yeye yupo Kwao hapo nani wakulaumiwa?Hii sio fair kabisa, sijui kwanini Yanga yangu ipo hivi, mchezaji kachangia mafanikio msimu huu afu kombe hili hapa anaachwa,
Imeshindikana kumuongeza miezi miwili?
Wapi nimemtaja morrison kuwa ananidhamu?Kwahiyo morisson ndiye mwenye nidhamu?
Kwani hapa anazungumziwa morrison au Saido? au unawashwaKwahiyo morisson ndiye mwenye nidhamu?
Singida Big starWametoa shukurani na kumtakia kila la heli kwenye klabu yake mpya ya SINGIDA ALL STARS?
Kwani hujui kwamba morisoni keshamalizana na Yanga?Wapi nimemtaja morrison kuwa ananidhamu?
Acha povu mkuu. Utani siyo vita.Kwani hapa anazungumziwa morrison au Saido? au unawashwa
Wewe ndo hujui kitu chochote, uyo muhuni hatorudishwa Yanga hata kidogoKwani hujui kwamba morisoni keshamalizana na Yanga?
Mkuu, muda utaongea. Amini ninachokwambiaWewe ndo hujui kitu chochote, uyo muhuni hatorudishwa Yanga hata kidogo
Hujui kituMkuu, muda utaongea. Amini ninachokwambia
Acha uongo wewe mpiga vichwa! Yaani usimuogope Mayele na Fei Toto! Umuogope Saidoo!!Kati ya wachezaji tishio niliokuwa nawaogopa pale Yanga ni huyu jamaa. Jamaa alikuwa vzr kwakweli. Yote kwa yote mpira ndivyo ulivyo. Atapata timu nyingine ya kucheza .
Hakika mkuu Simba tukimbeba huyu kiumbe tutakua tumebeba mali.Makolo chukueni mali hiyo
Mkuu vipi kuhusu Chiko Ushindi,Mimi simuelewi kabisaKila la heri huko aendako! Hakika ameifanyia mambo makubwa klabu yetu, ingawa kuna wakati majeruhi yalimuandama.
Kuondoka kwake, ndiyo kuingia kwa jembe lingine. Safisha safisha iendelee kwa wachezaji wote walioshindwa kuonesha maajabu msimu huu. Mashabiki tunataka usajili wa kishindo wa kujazia nafasi zilizoachwa wazi. Yaani ikiwezekana mchezaji anasajiliwa na kuingia moja kwa moja kwenye First 11 ya timu.
Halitakuwa jambo la busara hata kidogo na msimu huu kuishia hatua ya awali kwenye mashindano ya Kimataifa, kama ilivyotokea msimu huu unao elekea ukingoni.
Kaseke anafuata
mwaisa mtu mbadKaseke anafuata
😂😂Anahusishwa kwenye kuwapiga misumari wenzake hasa anaogonbania nao nambaHuyu akiondoka nitafurahi sana.