Unakosa weledi. Huyu barua inasema mkataba umeishae leo.So wameachana naye .
Morrison Ni mali ya Simba hadi mwisho wa msimu. Simba wangesema wamemfukuza,tafsiri yake kimkataba maana yake ni kwamba wamevunja mkataba. Haya mambo yanahitaji u-smartness siyo mhemko km ambavyo umekoment hapa.