The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Ni kweli walikosea sanaanilisikia kuwa walisema hakuna timu ya kuwafunga hapa duniani, labda malaika! hii habari Ina ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli walikosea sanaanilisikia kuwa walisema hakuna timu ya kuwafunga hapa duniani, labda malaika! hii habari Ina ukweli?
Wachezaji hawamtaki kochaMbona kama wamekurupuka sana. Au kuna ugomvi tusioufahamu?
Performance mnaipima kwa michezo aliyofungwa tu au na michezo mingine pia?KWA PERFORMANCE ILE YA TIMU kama Gamondi angebaki yanga basi tungeenda kupoteza zaidi.
NAWAPONGEZA VIONGOZI WA YANGA KWA KULIONA HILI.
Tangu ligi imeanza timu imecheza chini ya kiwango sana.Performance mnaipima kwa michezo aliyofungwa tu au na michezo mingine pia?
This is TZ broo...mihemko ndo kila kitu na nguvu za waganga kwenye mpira kuliko uwezoNilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)
Kundi la wapumbavu ni kubwa
Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?
Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga
Pumbavu
Napenda sana Topolo wakivurugana kama hiviViongozi wa Yanga Hersi na wenzio wapumbavu sana, mmenivurugia siku yangu.
Nimewachukia mnoooo!
Huu msimu wote sitoenda uwanjani wala kununua chochote kinachohusiana na Yanga, wapuuzi wakubwa nyie wote.
Lazima wamlipe fidia zake, ila tulivyokua wahuni hatutalipa mpaka tufungiwe kusajiliKUVUNJA MKATABA maana yake nini ?
Hata makubaliano ya kienyeji, ya "tukutane Manzese" usipotokea Manzese huwezi kujibu nili change my mind! Nilivunja mkataba!
Hakuna kitu kama hicho duniani.U anavunjaje makubaliano kivyako vyako ?
Hata fundi bomba akianza kulowa maji, kazi ngumu, hawezi kukwambia "nimevunja biashara"!
Kuna hasara Yanga hawazisemi, hatuambiwi, halafu wana habari wenyewe upeo ni mdogo sana.
Yanga imepoteza kiasi gani kwa contract severance ya huu mkataba ????
Ulaya kocha Gamondi angeondoka na meneja uajiri, kama ni Hersi, angeondoka na Hersi!
simple and smart that why i love you!Gamond kilichomfukuzisha ni kama Rhulan Mokwena tu... mwaka jana Gamond alimu expose sana kwenye mechi ya robo fainali na ilibidi mamelodi watolewe pale wakapita kwa ndondokela! Baada ya pale Mamelodi wakaanza kuchezesha mpira ule ule waliochezeshewa na Yanga ikawa ngumu kutoboa... sasa uzuri wenzetu wao hayo mambo yamewakuta mwisho wa msimu wakaona waachane na Rhulan! YANGA ilichokosea ni kuongeza mkataba na Gamond ilihali alishauza mbinu ya vita kwa adui! Watu wameenda break na homework za kumzuia Gamond tu! Ligi imeanza timu zimegeuka mabeki wanashambulia kwa counter! Kwahiyo hio kitu ilishaonekana tangu mwanzo sio kwamba Yanga imeshuka ila ni vile mbinu ya Gamond washaipatia jibu kwahiyo kuendelea na Gamond kutaifanya Yanga iwe ngumu zaidi kuchukua ubingwa. Mana Bila mabeki wa maana kwa mpira wake hutoboi na kule mbele wakina Dube nao ndo wanazingua
Ukiweka takwimu za Yanga hapa aibu utaona wewe. Yanga kabla ya kufungwa mechi mbili mfululizo haikuwahi kuruhusu goli na timu zote zilizokuwa zinakutana naye zinabaki nyuma.Tangu ligi imeanza timu imecheza chini ya kiwango sana.
Nakuhakikishia angeendelea huyo gamondi hii yanga unayoifahamu hata nafasi ya nne tungeikosa.
Mimi mwenyewe niliwaza kama ulivyowaza. Lakini kumbe kuna zaidi ya hapo. Kipo kitu kingine nyuma ya pazia,zaidi ya kufungwa mechi 2Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)
Kundi la wapumbavu ni kubwa
Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?
Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga
Pumbavu
Sio mechi mbili TU. Tangu ligi imeanza timu haioneshi Nguvu ya kupata matokeo ya kuridhisha tofauti kabisa na uboreshaji uliofanyika hasa kwenye eneo la ushambuliaji.Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)
Kundi la wapumbavu ni kubwa
Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?
Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga
Pumbavu
Au unaweza kuyaona lakini ukayachukulia poa tu.ukiwa nje huwez ona ya ndani
Ok. Nimekupata. Swali la nje ya mada; Je, ni kweli wewe ni Fundi Mahiri wa Ujenzi au hiyo ni User name tu unaitumia kuuza sura humu JF?Tangu ligi imeanza timu imecheza chini ya kiwango sana.
Nakuhakikishia angeendelea huyo gamondi hii yanga unayoifahamu hata nafasi ya nne tungeikosa.
Ndio mm ni fundi mahiri wa ujenziOk. Nimekupata. Swali la nje ya mada; Je, ni kweli wewe ni Fundi Mahiri wa Ujenzi au hiyo ni User name tu unaitumia kuuza sura humu JF?