Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Lazima wamlipe fidia zake, ila tulivyokua wahuni hatutalipa mpaka tufungiwe kusajili

Shiing ngapi ??

Sevarance clause inasemaje ?

Na ni nani anawajibika na kupotea kwa mabilioni ya severance package anayoenda kulipwa kocha ?

Wachambuzi wa michezo ya Arsenal na Bayern Munich kwenye ma radio ya Tanzania, termination clause ya kocha wa Yanga inasemaje ????
 
Sawa Dada Salama Ngale Kidogo umejitahidi kujitetea ngoja nipeleke jina kwa injinia unafaa kuvaa viatu vya bwana kipara ila na wewe ukisoma huu ujumbe kimbia saloon ya karibu waambie wakupige kipara ili iwe rahisi kukidhi vigezo.
 
Record muhimu kuliko zote ni ya kuifunga Simba 5
 
Record muhimu kuliko zote ni ya kuifunga Simba 5
 
Mikataba mingi ya club zetu inakua Siri sana lakini one thing for sure, Gamondi will be walking out with a fat pay check
 
Viongozi wa Yanga Hersi na wenzio wapumbavu sana, mmenivurugia siku yangu.
Nimewachukia mnoooo!

Huu msimu wote sitoenda uwanjani wala kununua chochote kinachohusiana na Yanga, wapuuzi wakubwa nyie wote.
Come down baby
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Bora huyu kafukuzwa kwa kufungwa mechi mbili tu. Robertino alitimuliwa baada ya kufungwa mechi moja tu 5-1

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hata Roman Abramovich ambaye alisifika kwa kufukuza fukuza makocha hakuwa na maamuzi ya haraka na ya kipuuzi namna hii.
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Hersi na mimi nimemuona ni lofa na boya kabisa, Hafai kuwa kiongozi mbumbumbu kabisa
Mwisho wa Yanga umefika
 
Sawa Dada Salama Ngale Kidogo umejitahidi kujitetea ngoja nipeleke jina kwa injinia unafaa kuvaa viatu vya bwana kipara ila na wewe ukisoma huu ujumbe kimbia saloon ya karibu waambie wakupige kipara ili iwe rahisi kukidhi vigezo.
Ah weeh usinjfananishe na yule mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…