Gamond kilichomfukuzisha ni kama Rhulan Mokwena tu... mwaka jana Gamond alimu expose sana kwenye mechi ya robo fainali na ilibidi mamelodi watolewe pale wakapita kwa ndondokela! Baada ya pale Mamelodi wakaanza kuchezesha mpira ule ule waliochezeshewa na Yanga ikawa ngumu kutoboa... sasa uzuri wenzetu wao hayo mambo yamewakuta mwisho wa msimu wakaona waachane na Rhulan! YANGA ilichokosea ni kuongeza mkataba na Gamond ilihali alishauza mbinu ya vita kwa adui! Watu wameenda break na homework za kumzuia Gamond tu! Ligi imeanza timu zimegeuka mabeki wanashambulia kwa counter! Kwahiyo hio kitu ilishaonekana tangu mwanzo sio kwamba Yanga imeshuka ila ni vile mbinu ya Gamond washaipatia jibu kwahiyo kuendelea na Gamond kutaifanya Yanga iwe ngumu zaidi kuchukua ubingwa. Mana Bila mabeki wa maana kwa mpira wake hutoboi na kule mbele wakina Dube nao ndo wanazingua