Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Presha ya mashabiki maandazi inasababisha maamuzi kama haya.
 
Hersi amekurupuka
Ndio mpira wetu hata nyie mlikurupuka kumuondoa Uchebe na yule Mspain.

Bongo tunafanya mambo kisela sana,Madrid kagongwa mechi tatu, City kagongwa mechi nne mfululizo na hawajamuondoa kocha, United wamemvumulia Ten Hag msimu mzima. Ila huku mechi mbili tuu zimemuondoa kocha .Bongo tunaviongozi wapuuzi.
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Yaga Timu yangu, ila huu ujinga siungani nao, waleze bayana nini tatizo na yet if this is solution!
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
mgogo huyo ,ujanja atoe wapi.... anaumia kufungwa na tabora united! haelewi kwann timu iko ligi kuu!
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Uchezaji ulikuwa chini mkuu
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Sa kosa lake ni nn
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Presha ya mashabiki maandazi inasababisha maamuzi kama haya.
 
Ujinga mtupu yaani yale makelele ya mbumbumbu ndio yamemfanya injinia kujaa upepo na kumuondosha mwamba..
Kulikua na mjinga humu pia nafikiri atafurahi sana amefungua nyuzi karibia kumi kumuhusu Gamondi hapa injinia kajinyea kabisa heshima yote kaivua labda kuna sababu tofauti lakini si ya kufungwa mechi mbili..
 
Back
Top Bottom