Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Waarabu walitakiwa waungane ijulikane moja tu israel ifutwe
Siungi Mkono anachofanya Israel kwa kuwa Vita hii inaondoa Civilians ambao mostly ni Watoto na Wanawake ila Kusema uifute Israel kwa waarabu kuungana bado ni Kitendawili mana Israel power yake hata haipo Ndani ukiachana kufungamana na Allies wakubwa kama US na UK ambao mpaka Marais wake wamefanya Tour uko Israeli, bado hawa wayahudi wana Matajiri kibao ambao Hawapo Israel na still wana finance hio Vita
 
Kanchi kadogo kakimasikini kanaenda kuingilia vita ambayo haiwahusu….akili za hawa watu wanazijua wenyewe!
Magaidi yanaweza kununua silaha kali za kujihani na kupiga wengine tena kwa bei mbaya sana but hayawezi kununua just nguo na viatu. Yemen is among of the very countries in the world halafu anataka VITA. Ngoja tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom