Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

mkuu stuka dini inakulemaza akili bado kdg itajiunga na makundi ya kigaid , kwa namna nyingine huo ni ugonjwa wa kisaikolojia
1698809233893.png
 
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni.

Mudi alipiga kamba Wapumbavu kuwa allah kaagiza ukimuua Binadamu mwenzio ambaye hujamuumba wewe basi utapata bikra 72 na mito ya pombe peponi.
Sio kweli usemalo
 
Wapalestina inabidi wajicheleweshe kwenda hedhi maana hamna maji ya kujisafisha[emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

No privacy, no water: Gaza women use period-delaying pills amid war​

Tablets used to delay periods can cause negative side effects but without access to water and hygiene products, women in Gaza say they have no choice but to use them.
Watu wako vitani hawa wanazungumzia hedhi na privacy! itakuwa mabomu hayajachanganya vizuri.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Sema wewe kafiri kwa sababu dhidi ya waislam ndio unasema sio vya kidini
Kiufupi nyingi wavaa makobazi akili zenu sikuzote uwa ni finyu kujua tofauti ya vitu.

Haya tuambie iyo vita ni ya dini na dini gani?
 
Amerika amepeleka silaha na wanajeshi gaza ila yemeni na lebanon wakiwasaidia palestina ni kosa bs km vipi wote nyinyi muende israili ukawasaidie dunia nzima muende
 
Wavaa kobasi tatizo lenu ni hasira za kijinga badala ya kujibu hoja
Hoja ipi wewe shoga? Mnaanza kunishambulia binafsi ndiyo hoja sikia wewe punguani ukijifanya mjanja kunishambulia utakutana na bakora tu hamba namna huu ndiyo utaratibu wangu miaka yote JF naweza kupambana na yeyote hata mkijikusanya mashoga wote tunaenda sawa.
 
Kanchi kadogo kakimasikini kanaenda kuingilia vita ambayo haiwahusu….akili za hawa watu wanazijua wenyewe!
Sisi tulikuwa tunaingilia vita ya makabulu na afrika kusini,ilikuwa ina tuhusu?, marekani ameingilia vita ya urusi na Ukraine,ina mhusi??!!, wewe ni janga zaidi ya corona.
 
Israel: An explosion was reported in the Israeli city of Eliat .

Yemen's Houthis have declared war and are now using long-range ballistic missiles to target Israeli cities
 
Hoja ipi wewe shoga? Mnaanza kunishambulia binafsi ndiyo hoja sikia wewe punguani ukijifanya mjanja kunishambulia utakutana na bakora tu hamba namna huu ndiyo utaratibu wangu miaka yote JF naweza kupambana na yeyote hata mkijikusanya mashoga wote tunaenda sawa.
Wewe bado Fala Tu hiyo inajulikana Una laana ya wizi wewe na Baba yako
 
hawa hata hawawezi kuwanyima israel usingizi, hata mahandaki hawana hawa,watapukutishwa kama hawajawahi sikia. waache waingie kwenye mdomo wa mamba.
 
Back
Top Bottom