Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Alichokifanya marekani kusogeza meli mbili kubwa zaidi za kivita kuisaidia Israel ndicho kilichofanyika kwenye hizo Vita na waarabu ambazo muisrael anajisifia kushinda
regardless anasaidiwa na Marekani or not, wachokozi lazima washikishwe adabu. Tena wapigwe vipigo vya ajabu kiherere kiwatoke waiheshimu israel
 
Iran naona kaamua kuja kivine wacha tuone,,nb hao Israel waache sasa kuua watoto wapambane na hao Hamas na wanajeshi wa Yemen
 
Ila kuna watu wamejaza m*vi tu kichwani huyo Israel ana saidiwa na nchi ngapi kwahiyo mlitaka palestina afe mwenyewe na waarab wenzao wapo wanangalia,Israel walichokosea ni kuua watoto subir soon nchi nyingine itaingia nayo safar hii kazi anayo kajifanya jeuri hataki kusitisha vita
 
Huko kwao watu wengine walienda kwa bibi wanataka vita visitishwe matokeo yake
kahama nyumba
 
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu.

Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)
akili ulizihongea mapenz nn?
 
Hatutaki kusikia oooh haki za binadam, sijui kilienda kikarudi....!!
Ukigongwa kaa kimya, aje mwingine..
#VivaIsrael
#TaifaTeule

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Misra yule kiongozi amewekwa na marekani ,na ndo hepwnda watu wa naman hiyo ,pia huyo isisi anapokea misaada mingi sana kutoka USA ndo maaana hawezi sema lolote
rudi milembe , wewe umetumia utafit gan kusema kiongoz wa misri hapendw?
 
Back
Top Bottom