Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Jesus.He's back
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jesus.He's back
Ilitakiwa Na nani?
Kwa hiyo kitabu kisichodanganya ni kile kinachodai ukiua kafiri halafu ukauawa basi utapokelewa na mabikra 72 kule ahera na pia eti utakunywa pombe kutoka kwenye mito inayo tiririsha pombe hukohuko ahera. Fantastic.Huyu Israel hua mnamuona kama Mungu sio, mijitu michafu kazi yao ushoga na mauwaji nyie ndio mnawatukuza kitabu chenu kimewadaganya sana.
Wanajeshi 20000 ndani ya mji mdogo kuliko ilala!?..uwe unachujaYemen ni nchi maskini zaidi pale Middle East na imepigana vita miaka mingi.
Yemen yenyewe iko vitani hadi sasa, imegawanywa mara mbili hakuna kundi lenye control nzima ya nchi. Kuna Houthi na serikali halali inayotambuliwa na mataifa inayoungwa mkono vitani na Saudi Arabia.
Hakuna mahala ambapo Yemen imedai inaingia vitani. Na kwa hiyo Hezbollah, mpaka sasa washauwawa wapiganaji wake zaidi ya 80. Mpaka sasa wanajeshi kama 20,000 wa Israel wapo Gaza. Hezbollah ilitishia Israel ikiingia Gaza inaanzisha vita nayo na Israel inashambulia positions za Hezbollah ndani ya Lebanon.
Ikiwa Hezbollah wataingia vitani Israel imejipanga.
Ujinga ni mzigo pole sana [emoji4]Ujinga ni mzigo pole sana
Lakini Muisraeli bado anapigana - hajashinda hii vita ya sasa. Kama alishinda ile ya zamani sio lazima na hii ashinde. Tusubiri muda ndo utasema Nani kashinda.Alichokifanya marekani kusogeza meli mbili kubwa zaidi za kivita kuisaidia Israel ndicho kilichofanyika kwenye hizo Vita na waarabu ambazo muisrael anajisifia kushinda
Israel anawaonea tu Palestina shughuli ndiyo imeenza sasa hawa Yemeni wanapelekewa Silaha nzito zamu ya Tel Aviv kuzika watoto.Aisee! baada ya miaka kumi nchi zote za kiarabu zitakuwa zimekaliwa na wayahudi..
Israel alikuwa akivuta mda wa kuingia gaza ili wajinga wajinga kama Yemen waingie kwenye 18 israel asije akachoma wese bure hapo gaza ngoja awakusanye kwanza
Kati ya Yemen na Israel Kuna nchi kadhaa ikiwemo Saudi Arabia hapo kati,muwe mnajielimishaIsrael anaenda jisombea ardhi nyingine baada ya miaka 5 utasikia waislam wanasema israel kapora ardhi
For sure,nimeona pamewaka haswa Leo Israel ndani hukoIsrael anawaonea tu Palestina shughuli ndiyo imeenza sasa hawa Yemeni wanapelekewa Silaha nzito zamu ya Tel Aviv kuzika watoto.
Hawana ubavu huo. Usiwaponze wenzio ilhali ww umejikalia zako mbali.Na nyinyi wafia Palestina.
Hawana ubavu huo. Usiwaponze wenzio ilhali ww umejikalia zako mbali.
Na wewe kobazi vipi putin mko wote kwa allah?
Hata kuwa destabilzed inatosha kuwa keep busy na kuyumbisha uchumi waoIsrael anawaonea tu Palestina shughuli ndiyo imeenza sasa hawa Yemeni wanapelekewa Silaha nzito zamu ya Tel Aviv kuzika watoto.
Mulize Natanyahau na Ijumaa vinakuja vingine kutoka Lebanon na Syria tulizeni ballHayo makombora na hizo ndege zimehit target!?
It is Ok. Even ancient Tanzania (by then Tanganyika) is not the same as what we nowadays call Tanzania although geographically it is the same area.Is modern day Israel the same as ancient Israel?
Modern Israel was created in 1948 after a United Nations agreement with the British created the State of Israel. Ancient Israel and Modern Israel are considered different civilizations with their own unique features, though they do share religious and historical connections.
Afghanistan siyo Waarabu.Hii ni sign mbaya sana. Natamani vojana wangu wa afighanstan waingize timu maana wale ni WAGNER wa kiarabu. WWW3 kama masihala inaanza na kuishuhudia hii vita kwa macho yangu
Tujiandae na bei ya mafuta,middle east bado hakupo stable kabisa. Iran nae anatishia tishia ,sijui nae atasemaje, Saudi nae sijui ataenda kinyume na US, Lebanon na Hizbolah.............loading.Wanaukumbi.
BREAKING: YEMEN DECLARED THEY ARE NOW AT WAR WITH ISRAEL
The Republic of Yemen is the first country officially to announce its entry into the “Battle of the Flood” of Al-Aqsa and launches a large number of ballistic and winged missiles and drones at a number of Israeli IOF targets inside occupied Palestine.