Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Ila kwer kama naiona Third worldwar inaendelea kujaa sasa sisi kataifa kadogo mbn waendelee na mataifa Yao makubwa tu
 
Waislamu wameichukulia kama vita ya kidini
ndio imekuwa mahubiri yao misikitini. Waislam waache kuchanganya mambo ya dini na ya dunia. Wale wananyukana si kwa dini ni kugombea ardhi
 
Wajipange tu waarabu wote ili historia ijirudie yenyewe ndio watajua kwamba allah sio Mungu wa kuwapigania watu ila yeye ndio anataka apiganiwe.
 
Budget Yao 45% wanategemea wahisani hii ni nchi masikini zaidi Tanzania je wataweza kuishi maisha ya vita Kwa miaka 2 kama Ukraine?
 
Aisee! baada ya miaka kumi nchi zote za kiarabu zitakuwa zimekaliwa na wayahudi..

Israel alikuwa akivuta mda wa kuingia gaza ili wajinga wajinga kama Yemen waingie kwenye 18 israel asije akachoma wese bure hapo gaza ngoja awakusanye kwanza
Atawapiga kama ngoma[emoji3]
 
Wanaukumbi.

BREAKING: YEMEN DECLARED THEY ARE NOW AT WAR WITH ISRAEL

The Republic of Yemen is the first country officially to announce its entry into the “Battle of the Flood” of Al-Aqsa and launches a large number of ballistic and winged missiles and drones at a number of Israeli IOF targets inside occupied Palestine.
Hiii vita Israel naona anavyoelekea kusanda hapo Irani ajatia kambi mbona watasema tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Wanaukumbi.

BREAKING: YEMEN DECLARED THEY ARE NOW AT WAR WITH ISRAEL

The Republic of Yemen is the first country officially to announce its entry into the “Battle of the Flood” of Al-Aqsa and launches a large number of ballistic and winged missiles and drones at a number of Israeli IOF targets inside occupied Palestine.
Andaeni maji ya kunawa machozi kwa vilio
 
Huyu Israel hua mnamuona kama Mungu sio, mijitu michafu kazi yao ushoga na mauwaji nyie ndio mnawatukuza kitabu chenu kimewadaganya sana.
Hakuna hoja ya kitabu kinachotumika. Hoja iliyopo ni kwamba Yemeni anajitakia shari i.e. amejiingiza kwenye mgogoro usiomhusu tena bila kuombwa.
Yaani Je, Palestina amemuomba Yemeni msaada? Halafu mbaya zaidi wapo wanaogeuza ukweli wa chimbuko la machafuko hayo na kuyapa mtizamo wa kidini. Hii ni Hatari kubwa mno.
 
Yemen ni nchi maskini zaidi pale Middle East na imepigana vita miaka mingi.
Yemen yenyewe iko vitani hadi sasa, imegawanywa mara mbili hakuna kundi lenye control nzima ya nchi. Kuna Houthi na serikali halali inayotambuliwa na mataifa inayoungwa mkono vitani na Saudi Arabia.

Hakuna mahala ambapo Yemen imedai inaingia vitani. Na kwa hiyo Hezbollah, mpaka sasa washauwawa wapiganaji wake zaidi ya 80. Mpaka sasa wanajeshi kama 20,000 wa Israel wapo Gaza. Hezbollah ilitishia Israel ikiingia Gaza inaanzisha vita nayo na Israel inashambulia positions za Hezbollah ndani ya Lebanon.
Ikiwa Hezbollah wataingia vitani Israel imejipanga.
kama kuna taifa linataka kuharibu uchumi wake liingie vitani kupigana na israel
 
Budget Yao 45% wanategemea wahisani hii ni nchi masikini zaidi Tanzania je wataweza kuishi maisha ya vita Kwa miaka 2 kama Ukraine?
Marekani alitoa jeshi Somalia na. bajeti yake kubwa kila siku alikuwa anasafirisha majeneza.
 
ni juzi juzi tu waliunda serikali baada ya kumuondoa madarakani rais aliyekuwa anatawala. Na hao hezbollah huko lebanon si kwao, walioingia huko kama wakimbizi wakaanza kushiriki siasa za nchi hiyo dhaifu kisiasa na wakapata nguvu kiasi cha kutawala siasa za lebanon kama ilivyo hamas katika ukanda wa gaza. Sasa lebanon chini ya hezbollah ianzishe hiyo vita na israel ndio itakuwa mwisho wao kutawala siasa za lebanon. Israel haishindwi na haitashindwa kuwanyuka yemen na hezbollah kwa wakati mmoja. Dunia itashuhudia maajabu mengine ya ushindi wa israel katika vita nyingine tena
Alichokifanya marekani kusogeza meli mbili kubwa zaidi za kivita kuisaidia Israel ndicho kilichofanyika kwenye hizo Vita na waarabu ambazo muisrael anajisifia kushinda
 
Back
Top Bottom