Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Mkuu; mbona unahamisha magoli?Ndio maana ni vita vya kidini dhidi ya waislam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu; mbona unahamisha magoli?Ndio maana ni vita vya kidini dhidi ya waislam
Siyo waislamu tu hata wakristo wenzangu wa hapa Bongo wameuchukulia huu mgogoro kama vita vya msalaba (crusade) But in reality this is all about existence.Waislamu wameichukulia kama vita ya kidini
Wewe ni shabiki mandazi huna unalolijua.israel inaenda jipatia maeneo zaid
Umeandika vizuri sana ila wachache watakuelewa kuwaHawawezi na haitatokea. Na ikiwa wakiungana hilo litakua tishio kwa EU na NATO nao wataingia mzigoni. Sasa nchi ngapi za uarabuni zina Nukes?. Halafu ujanja wao wote ni kuwawahi makwao unapiga makambi yao yote at per kama Israel ilivofanya zile siku 6. Halafu mfano pale saudia itapigwa visima vya mafuta vyote baada ya hapo wataomba misada maana hajua shughuli mwaeabu anafanya zaidi ya kuchimba mafuta
Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
Mwaka 2012 waliruhusu wananchi wale mbwa kutokana na njaa.Hivi mnajua Yemen ndio nchi yenye njaa kuliko zote Duniani
Rais wa Chechnya amemwambia Putin yuko tayari kupeleka kikosi chake popote Ukraine au Gaza kama atakavyoelekezwa.Hii ni sign mbaya sana. Natamani vojana wangu wa afighanstan waingize timu maana wale ni WAGNER wa kiarabu. WWW3 kama masihala inaanza na kuishuhudia hii vita kwa macho yangu
Na wewe kobazi vipi putin mko wote kwa allah?Haijalishi. Lkn hivi vita dhidi ya waislam. Umeona kafiri Ukraine alipovamiwa? Hukusikia dunia?
Watu watasadiki uyasemayo. Kama tukiwa hai wiki ijayo mataifa mengi yatatangaza kuingia moja kwa moja vitani leo nimemsikia Erdoğan wa turkey akisema yupo tayari kama nchi zingine za regional zipo tayari. Taratibu watu wanajipanga. Marekani yeye keshaleta silaha zake zote na meli zake za kivita Mediterranean Sea pamoja na za washirika wao wa ulaya. Wacha tuone.Vita ya tatu ya dunia ndiyo imeanza hivyo.
Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote
Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones
‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani, dhidi ya shabaha mbalimbali nchini Israel. Tutaendelea kufanya mashambulizi hadi uvamizi wa Israel ukomeshwe, msemaji wa Jeshi la Yemen Yahya Sarie Anu.
[emoji298]️[emoji329]The full statement of the Yemeni army :
1- #With the help of God Almighty, our armed forces launched a large number of ballistic and winged missiles, as well as drones at various targets of the #Israeli enemy in the occupied territories.
2-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.
3-The Yemeni Armed Forces confirm that this is the third operation in support of our oppressed brothers in #Palestine, and that the armed Forces will continue to carry out more qualitative missile and drone attacks until #Israel ceases its aggression.
4-We affirm that our Yemeni people's attitude on the Palestinian issue is firm and ethical, and that the #Palestinian people have the full right to self-defense and legitimate rights.
5-The #Zionist enemy entity's ongoing execution of crimes and killings against the people of #Gaza Strip and all of occupied Palestine destabilizes the region and extends the circle of conflict.
The victory comes only from God.
Tukumbuke Yemen wana makombora ya Masafa marefu mazito na ya Ballistic yenye uwezo wa kupiga kilometa hadi 3000
Na wametishia kukichoma kituo cha Nyukilia cha Israel cha Dimona!!
Wakati huo huo Mkuu wa Jeshi la Hezbollah la Lebanon atatoa hotuba siku ya Ijumaa tarehe 3 hotuba inayosubiriwa kwa hamu....Za Chini ya Kapeti zinadai watatangaza vita rasmi na Israel na kukomboa eneo la Mashamba ya Shabbah
View attachment 2799323
Ninawahurumia sananaambiwa ni wahuthi ndio wenye serikali yemen. Wana mzuka na vita ngoja wajiingize waipate fresh, naona kama hawana akili hivi
Let the caged bird sing. Mwana kulitaka mwana kulipata.Limeshushwa misile moja leo limeenda na watu zaidi ya 100...
The world is watching..!? We are watching!??
Why!?😔😔
Hii inahusiana nini na uzi?US President Joe Biden has revealed plans to expel Uganda, Gabon, Niger and the Central African Republic (CAR) from a special US-Africa trade programme.
The countries were either involved in "gross violations" of human rights or not making progress towards democratic rule, the president said.
The US introduced the African Growth and Opportunity Act (Agoa) in 2000.
It gives eligible sub-Saharan African countries duty-free access to the US for more than 1,800 products.
President Biden said that Niger and Gabon - both of which are currently under military rule following coups this year - are ineligible for Agoa because they "have not established, or are not making continual progress toward establishing the protection of political pluralism and the rule of law".
He also said that the removal of the CAR and Uganda from the programme was due to "gross violations of internationally recognised human rights" by their governments.
In May, the US government had said it was considering removing Uganda from Agoa and introducing sanctions on the country after it passed a controversial anti-homosexuality law.
The law, which imposes a death penalty on people found guilty of engaging in certain same-sex acts, has faced global criticism.
"Despite intensive engagement between the United States and the Central African Republic, Gabon, Niger, and Uganda, these countries have failed to address United States concerns about their non-compliance with the Agoa eligibility criteria," President Biden said on Monday, in a letter addressed to the speaker of the US House of Representatives.
The four countries are yet to react to the announcement, which comes just before South Africa is due to host the 20th Agoa forum from Thursday this week.
Their expulsion from Agoa is set to take effect from the start of next year and is likely to impact their economies, as Agoa has been credited with promoting exports, economic growth and job creation among participating countries.
CAR is likely to be the least impacted by the Agoa expulsion, as it only recorded $881,000 (£722,300) in US exports in 2022, according to US government data.
The country, however, imported goods worth $23m from the US in the same year, creating a massive trade deficit between the two countries.
US data also show that Uganda exported goods worth $174m to the US last year, while Gabon and Niger recorded US exports of $220m and $73m respectively in the same period.
Last month, Ugandan President Yoweri Museveni said that several American companies had already stopped importing textiles - which fall under the Agoa trade deal - from Uganda because of the passing of the anti-homosexuality law.
"The homosexuals in the US are interfering with our export of textiles. Some of the orders have been cancelled there," Mr Museveni was quoted as saying by the privately owned Daily Monitor newspaper.
In August, Mr Museveni banned the importation of second-hand clothes, a move thought to target the US, which is a major supplier of the used garments to Uganda and other African countries.
The threat to exclude Niger and Gabon from Agoa is the latest US government action against the two junta-led countries.
The US State Department announced last week that it had suspended most foreign aid to Gabon and would only resume assistance if Gabon's transitional government establishes democratic rule.
In August, US Secretary of State Antony Blinken announced a similar measure against Niger, saying that the US "is pausing certain foreign assistance programs benefitting the government of Niger".
Burkina Faso, Mali and Guinea have all previously been expelled from Agoa after military coups in those countries.
HIMARS msome mdau hapo juu ndio utaelewa kuwa kwa bongo hapa hii ni vita ya kiimani ila kwa nchi za wenzetu huko wanaandamana mpaka wakristo kupinga mauaji ya watu wasio na hatia palestina.Wwaarabu walishaungana na bado kichapo wakapewa tena cha haja mpaka rais wa Misra akafa kwa mshtuko wa moyo.
Ahmednajad wa Iran alisema angeifuta Israel kwenye uso wa dunia mpaka leo yamebaki maneno ya kwenye kanga.
Leo salam zimpelekwa sasa litokee taifa lolote la kiarabu liiguse Israel ndo watajua maana yake nini Mungu Yesu au Yehova anaposema Israel ni mboni ya jicho lake.
View attachment 2799478
Mimi nilijua watatangaza mipango na mikakati ya mazungumzo ya kufikia amani ukanda wa Gaza kumbe wanajiingiza Vitani.
Shauri yao, wanatafuta shari kutoka kwa Israel, kitakachofuata wasije wakalalamika.
NOTE:
Misri wametumia akili kukaa kimya, na waendelee hivyo hivyo kukaa kimya, wakijiingiza tu vitani kichapo kitatua Afrika pia.io