Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Ugomvi wa jirani kuuingilia kichwa kichwa kutazaa maafa zaidi kwa wayemen.
Mtoto akililia wembe, mpe!
 
#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.

Source:Israel Channel 14
 
#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.
 
Israel anawaonea tu Palestina shughuli ndiyo imeenza sasa hawa Yemeni wanapelekewa Silaha nzito zamu ya Tel Aviv kuzika watoto.
Umeishia darasa la ngapi wewe...hii mikwala ya kijinga anayofanya Yemen unaamini? Hiyo nchi haina uwezo wa KUPIGANA vita na hawana uwezo huo kijeshi, ushabiki wa Simba na yanga usipeleke vitani
 
Wanaukumbi.

BREAKING: YEMEN DECLARED THEY ARE NOW AT WAR WITH ISRAEL

The Republic of Yemen is the first country officially to announce its entry into the “Battle of the Flood” of Al-Aqsa and launches a large number of ballistic and winged missiles and drones at a number of Israeli IOF targets inside occupied Palestine.
Ni kweli wametangaza na wamerusha makombora na droni.Israel wanasema baadhi ya vufaa hivyo wamevitungua kabla ya kuinjgia Israel.
Suala ni jee wana uwezo wa kutungua kila kombora litakalorushwa kama na wengine wakiamua kama Yemen
 
Mkuu, katika vitu ambavyo sikushauri ufanye ni kukashfu jina la Mungu..,hapo ni sawa na kusema Mungu ni ..., Allah ni kiarabu japo najua unajua.
Mimi huwa siwajibu wapuuzi kama hao.Hata wakiwa wanasema kwa kutojulikana.Allah huwa anawajua walipo na wakirudia rudia huwatia mkononi.
 
Umeishia darasa la ngapi wewe...hii mikwala ya kijinga anayofanya Yemen unaamini? Hiyo nchi haina uwezo wa KUPIGANA vita na hawana uwezo huo kijeshi, ushabiki wa Simba na yanga usipeleke vitani
Muulize Mama yako nilkuwa nakuja kwenye bweni lao usiku atakuambia.
 
Yani Mtu kakukalia kooni tena nchini mwako zaidi ya miaka 20, afu kajitoa baada ya kumaliza masilahi yake ndipo mnajidanganya kuwa Watalibani walifurukuta mbele ya superpower USA? kweli akili ni nywele [emoji38]
Lengo lilikuwa kuwatoa Taliban kutawala Afghanistan. Lakini NATO wamefunga vilago wakiiacha Afghanistan ikichukuliwa tena na Taliban
 
Wapalestina inabidi wajicheleweshe kwenda hedhi maana hamna maji ya kujisafisha[emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

No privacy, no water: Gaza women use period-delaying pills amid war​

Tablets used to delay periods can cause negative side effects but without access to water and hygiene products, women in Gaza say they have no choice but to use them.
Dah to be honest hii imenisikitisha kabisa.

Poleni sana wanawake wa Gaza. Lakini acheni kutunza magaidi, zuieni na kemeeni kabisa wanenu kujiunga na makundi ya kigaidi, kule mbinguni ni kusali tu hakuna bikra hata moja na hakuna hata mto mmoja wa pombe. Waleeeni mkiwafundisha kujua madhara ya ugaidi ni pamoja na kuvamiwa na wababe na kukosa mahitaji muhimu, even those for survival.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah to be honest hii imenisikitisha kabisa.

Poleni sana wanawake wa Gaza. Lakini acheni kutunza magaidi, zuieni na kemeeni kabisa wanenu kujiunga na makundi ya kigaidi, kule mbinguni ni kusali tu hakuna bikra hata moja na hakuna hata mto mmoja wa pombe. Waleeeni mkiwafundisha kujua madhara ya ugaidi ni pamoja na kuvamiwa na wababi na kukosa mahitaji muhimu, even those for survival.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao magaidi walimgusa nani wako?
 
Back
Top Bottom