GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akili ndogo hujadili watu.

Utajisikiaje wakimkosoa namna hii Lissu au kiongozi yeyote unaemkubali wa CDM.

Jifunze kuficha ujinga mbele za watu itakusaidia.
Huo ndo ukweli, ukiweza ku manage mambo madogo yanayohusu mwenyewe,unaweza kupewa dhamana,kuaminiwa na kupewa kuyasimamia makubwa zaidi, mwambie aanze na kuondoa UKURUTU usoni kwake!!🤔🤔🤔
 
sasa nani mjanja aliyeko kwenye ligi uwanjani au anaye jibebisha kwa benchi mpaka mechi ya 2030 na blabla za NRNE?
Ukitumia akili yako uliyoweka katikati ya mifuko bya suruali ya nyuma, utamjua mjanja 🤣🤣🤣🤣
 
Umepoteza hoja umeenda kwenye majungu kama mwanamke
Huo ndo ukweli, ukiweza mambo madogo, utaweza makubwa, nakujua wewe ni BWABWA, Hina marinda,umepoteza kitambo, mwenye UKURUTU ndo kafumua ndo maana unamtetea, mwambie atoe UKURUTU kwanza usoni kwake, zitto ni mwanasiasa TAPELI tu, ana issue kabisa!!!🤣🤣🤣🤣
 
Sjawahi kuelewa ni kivipi Zitto sijawahi kumwelewa na kumkubali kama mwanasiasa mzuri, zaidi sana huwa namuona ni mwanaccm kushinda hata wana ccm wenyewe

Na yule jamaa anamapungufu kibao, kiroho, kimwili na kijamii
 
Ukitumia akili yako uliyoweka katikati ya mifuko bya suruali ya nyuma, utamjua mjanja 🤣🤣🤣🤣any way the World is Living Suffering is Your Choice
Sijaijua IQ yako na economical status ,kama umechoka kiuchumi lazima uichukie CCM , but The World is Living Suffering is Your Choice
 
Huo ndo ukweli, ukiweza ku manage mambo madogo yanayohusu mwenyewe,unaweza kupewa dhamana,kuaminiwa na kupewa kuyasimamia makubwa zaidi, mwambie aanze na kuondoa UKURUTU usoni kwake!!🤔🤔🤔
Changamoto unaandika upumbavu kwa kujiamini.

Lakini kumbuka kuna maisha mengine nje ya hizi tofauti za kiitikadi.

Na usijekuumizwa na mtu akimdadavua kimaumbile yule mwanasiasa umpendae.
 
Changamoto unaandika upumbavu kwa kujiamini.

Lakini kumbuka kuna maisha mengine nje ya hizi tofauti za kiitikadi.

Na usijekuumizwa na mtu akimdadavua kimaumbile yule mwanasiasa umpendae.
Zitto na WEWE wote ni wapuuzi na makahaba wa Siasa 🤣🤣🤣🤣
 
Anayepambana na Chadema ni wa kumuonea huruma tu. Uzuri saivi wananchi tumeshajua Chama pekee kinachotetea maslahi mapana ya Wananchi ni Chadema.
 
Sijaijua IQ yako na economical status ,kama umechoka kiuchumi lazima uichukie CCM , but The World is Living Suffering is Your Choice
Nyie ndio wale watu ambao mlienda further studies,lakini mlienda kusomea UJINGA 🤣🤣🤣🤣
 
Yaani zitto yeye kama nani awapangie chadema cha kuongea mwenye Ziara,?
 
Kwani nani asie jua kua uyo ni CCM B.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…