Zito kwa sasa ni chawaccm ni ibirisi kama ibirisi wenzake wa ccm, hana jipya kaamua kujitoa fahamu asake kiki za kishamba kwa kuwashambulia chadema baada ya kuona njama zake za kufunga ndoa na ibirisi wa ccm zimejulikanaKwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
Zito ni ibirisi ccm ana kadi ya ccm na sasa anashinda na mbowe wakila njama Lisu afie jela Mbowe afanye kama professor Lipumba arejee chadema kwa njia haramu za kishetaniKwani nani asie jua kua uyo ni CCM B.
KAZI ni kipimo cha utu
Zito ni ibirisi wa ccm ni chawaccm ni Dalali wa Siasa hana jipya kaamua kujitoa fahamu baada ya kuvuta BangiHuna hoja ya kuzungumza,umeona dini tu?
Ebu badilika
Zito anavuta Bangi kwa sasa ndiyo mwanasiasa fala kilaza zwazwa kupita wote DunianiUmepoteza hoja umeenda kwenye majungu kama mwanamke
Wewe mbweha zuzu juha Akili za kuona mpumbavu umezitoa wapi? Anza kuwa na Akili za kuona kwanza ndipo uongee, Hizo Akili za kushinda Ghetto kwa Zito mkivuta bangi bakini nazo huko huko kwa mazwazwa wenzenuHii michadema ndo maana Mimi kwa Sasa naitambua kama mipumbavu tu.
Ukiwa ibirisi wa ccm kisha uonje Damu za watu kuteka kuua watu kuwabambikia kesi za uongo unakuwa mwehi ni vigumu ujue kilicho borano reform no elections ni nonsense agenda kabisa aise 🐒
ibirisi wa ccm ndiyo analeta uchaguzi wa maigizo kuchezea mabilioni ya walipa kodi wakati matokeo mnayo mifukoni, bora ccm ijitangazie ufalume kabsa kuliko kupoteza pesa kufanya uchaguzi feki bandia wa magumashiZITTO YUPO SAHIHI SANA, NA WANAOSUSIA UCHAGUZI PIA WAPO SAHIHI, wasishiriki uchaguzi mpaka miujiza ya reform wazotaka zitimie (NRNE), kuwa hai kwa street hadi 2030, bila ruzuku ni existential challenge
View: https://www.youtube.com/shorts/kDBBB33mrp8?t=14&feature=share
Zito kwa sasa ni mmbea mpika majungu mwimba Taarabu Akili zake baada ya kuvuta bangi zimekuwa kama za kigaila wa chauma ubwabwaAkili ndogo hujadili watu.
Utajisikiaje wakimkosoa namna hii Lissu au kiongozi yeyote unaemkubali wa CDM.
Jifunze kuficha ujinga mbele za watu itakusaidia.
Zito ni ndumila kuwili ni kajitu ka hovyo sana ebu fikiria kalisema mbowe alitaka kukuua kwa kumwekea Sumu, Leo sasa kaungana na mbowe na ibirisi wa ccm anataka lisu afie gerezani, Zito atabeba laana za utakeji mauaji na mambo yote haramu ya kishetani toka huko kwenu🤣🤣🤣
Hy mkuu
IQ ya utekaji, kuua wapinzani kuwabambikia kesi za Uongo hiyo ni IQ? au ushetani?Sijaijua IQ yako na economical status ,kama umechoka kiuchumi lazima uichukie CCM , but The World is Living Suffering is Your Choice
😆😆😆😆ibirisi wa ccm futeni uchaguzi sogeza mbele kwanza ili ccm mpate kutubu, kujiangalia kuzingatia haki za binadamu, kuacha uonevu, na kuokoa mabilioni ya pesa kwenye uchaguzi wa maigizo, uchaguzi feki magumashi wa kuihadaa Dunia kuwa Tanzania nayo ina uchaguzi, Acheni kupoteza pesa nyingi kwa jambo la kuigiza, hizo pesa zielekezwe kwenye maendeleo zijenge barabara mashule hospital huduma za maji na mengineyo mengi ya msingi, ccm acheni vitendo haramu vya kishetani
ibirisi wa ccm kwao hujinifaisha kupitia manyanyaso uonevu mateso kwa chadema, mfano sasa wametegea Lisu yupo jela wamefanya biashara na mbowe kuwauzia G55 magalasa na Amos makala kuwasokomeza chauma ubwabwa anakula 10% kila cent inayotoka ccm kwenda chauma ni wizi mpya ni mradi haramu wa kishetani😆😆😆😆
Zito hawezi kumpinga mtu wa dini yake. FINAL AND CL
Zitto Kabwe ameshindwa kupambambana na UKURUTU usoni kwake,🤣🤣🤣 ataweza nini??
Ubunge hatashinda, kupambana na CHADEMA hataweza.
Zitto anza kwanza na UKURUTU kwenye uso wako!! Mengine yote yafuatie!!!🤣🤣🤣🤣
Hakuna ulijualo, naona ni stori zilezile za miaka na miaka mlizolishana manyumbu huko. Hivi kina kitila, mollel, nassari nk hawakuhama huko chadema?!!! Mbona wao hamuwachukii Wala kuwasema wakati wapo ccm kabsaaaaaaa?!!!!!!! Mashinji, aliyekuwa katibu wenu mkuu Yuko wapi?!!! Kila siku nyie na zitto tu; acheni upimbi basi.Zito ni ndumila kuwili ni kajitu ka hovyo sana ebu fikiria kalisema mbowe alitaka kukuua kwa kumwekea Sumu, Leo sasa kaungana na mbowe na ibirisi wa ccm anataka lisu afie gerezani, Zito atabeba laana za utakeji mauaji na mambo yote haramu ya kishetani toka huko kwenu
Kweli Zitto nyoko, yaani chadema yote inapanga namna ya kumzuia asipate ubunge na Bado wanashindwa?!!! Lakini kwanini Zitto?!!! Mbona kina nassari nao wapo ila kimya?!!!Dawa ya zito ni kumwekea mgombea pale jimboni kwke wa chama cha upinzan.
Na CCM waaiachie majimbo kirahisi maana ubunge ndiyo ajira yenye malshi ya uhakika .Ni uxemge Kuachia jombo liende upinzani halafu musubiri uteuzi wa uDC. Wakati mpaka wakuu wa mikoa wanatafuta ubunge. Mbunge wa CCM pambana unyakuee bunge na kumwangu Zito .
Ni lazima wananchi waambiwe kuhusu hawa machàwa wa ccm wawajueWakati mnapambana naye mnamuita ccmb kwa nini hamkujikita kuwaeleza wananchi wenu kuhusu msimamo wenu?
CHADOMO TAKATAKA