GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kweli Zitto nyoko, yaani chadema yote inapanga namna ya kumzuia asipate ubunge na Bado wanashindwa?!!! Lakini kwanini Zitto?!!! Mbona kina nassari nao wapo ila kimya?!!!
Zitto hawezi pata ubunge Kigoma ndugu yangu, labda wa kuteuliwa na rais
 
Zitto ameamua kusindikiza ccm kwenye igizo la uchaguzi safari hii, muda utasema...
 
🙆🤔💭
 
ibirisi wa ccm ndiyo analeta uchaguzi wa maigizo kuchezea mabilioni ya walipa kodi wakati matokeo mnayo mifukoni, bora ccm ijitangazie ufalume kabsa kuliko kupoteza pesa kufanya uchaguzi feki bandia wa magumashi
unajitesa bure kwa jambo lisilowezekana
 
Kweli Zitto nyoko, yaani chadema yote inapanga namna ya kumzuia asipate ubunge na Bado wanashindwa?!!! Lakini kwanini Zitto?!!! Mbona kina nassari nao wapo ila kimya?!!!

Zito ni mnafiki ndio tatizo lake .
Sio kwamba hajui anachofanya .

Awamu iliyopita ya JPM alijifanya mpinzani kwa sababu ya kulinda maslahi ya mafisdi .

Watanzania wameshajua nani ni mpinzani wa kweli na nani ni mzalendo wa kweli na nani ni dalali katika nchi hii .
Hata ndani ya CCM wapo wazakendo wa kweli wasiofuata maslahi bila kulinda rasilimali za nchi.

Kama zito ni msomi wa uchumi asiyeeweza kusimamia hata bandari ikajiendesha kwa faida badala yake anakuwa dalali wa Wafanyabiashara wa Kiarabu basi hana faida yoyote bora hata Musukuma mwenye Makampuni yake mwenyewe .
 
Wewe ndiyo hujui kitu hujui kuwa Nyumbu ni com kwani licha ya ccm kufanya mambo ya hovyo kutumia pesa nyingi kununua wapinzani nyumbu wewe na wenzako bado mmezubaa unakuja na mifano ya kizamani isiyo na Tija, ccm sasa ni Buzi la kuchunwa na wajinga wajinga akina zito na sasa Chauma ubwabwa kama unasaka uteuzi hupati kwa utetezi wako juu ya vitendo haramu vya kishetani ikiwemo utekaji na mauaji yenu
 
Kweli Zitto nyoko, yaani chadema yote inapanga namna ya kumzuia asipate ubunge na Bado wanashindwa?!!! Lakini kwanini Zitto?!!! Mbona kina nassari nao wapo ila kimya?!!!
ibirisi wa ccm hutumia njia haramu kuwanunua wapinzani ni wizi wa pesa za walipa kodi hupati uteuzi kwa kutetea utekaji mauaji kubambikia watu kesi za uongo , laana za uliwaua na laana za uliowateka na laana za kula pesa za walipa kodi kwa vitendo haramu vya kishetani zitakuganda hadi ujute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…