Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

ila sisi wa misa ya kwanza saa 12 hatujasomewa, sijapenda
 
Hata wakipewa nakala kila kondo, hamna kitakacho badilika hawawezi kumyumbisha Raisi wetu hao waramba misalamba Tanzania ni kubwa kuliko hao.......
Wabongo bwana kuambiwa ukweli kwa maslahi ya Taifa ni kuyumbusha?muwe mnatumia akili bwana😏
 
Ukiamua kukiweka kwenye lugha picha hiki ulichoandika kitaonekana hivi[emoji1541][emoji1541][emoji1541] ama hivi[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
 
Huo ni uongo mnaongeza chumvi ili kusambaza sumu kwa raia, wewe usijifanye una akili kuliko wa bunge wote Tanzania na wewe sio mtaalamu wa mikataba.
Hoja hujibiwa kwa hoja. Hapa unapinga tu hoja huna
 
Hoja hujibiwa kwa hoja. Hapa unapinga tu hoja huna
Kwani hapo kuna hoja au tuhuma, hoja ni argument kwa kulete hivyo vipengere katika huo mkataba, sio kuongea lolote bila udhibitisho, na mimi naweza nitaja chochote bila udhibitisho wowote.
 
Wasabato wanapaelewaje hapa maana kwao siku ya saba na ya mapumziko kiuumbaji ni Ijumaa
Kila imani ina siku yake ya kuabudu kwahiyo hapo unaweza hata ukaanzia hiyo Jumamosi na kuishia Ijumaa
Muhimu ni idadi ya siku na si mpangilio wa siku
 
Kama hawa kuchaguliwa mbona hatukuona waraka kutoka kanisani wakumshauri au kumlaani alio wa teuwa bila kuchaguliwa, tukiwambia hao watu ni wadini amna uzalendo wowote mnabisha.
Mujahideen wengi ndio walipita bila kupingwa

Walipitishwa kuweka usawa πŸ˜„πŸ˜„πŸ”₯🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…