Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

Mujahideen wengi ndio walipita bila kupingwa

Walipitishwa kuweka usawa [emoji1][emoji1][emoji91][emoji209]
Mbona unatuchanganya mkuu maana ya mjaheedina ni nini? Ni wa bunge wa majimbo gani?
 
Usomwe hadi Oktoba 2025

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Huo ni uongo mnaongeza chumvi ili kusambaza sumu kwa raia, wewe usijifanye una akili kuliko wa bunge wote Tanzania na wewe sio mtaalamu wa mikataba.
Ni mbunge gani ambaye ni mtaalam wa Mikataba?
 
Hata wakipewa nakala kila kondo, hamna kitakacho badilika hawawezi kumyumbisha Raisi wetu hao waramba misalamba Tanzania ni kubwa kuliko hao idol worshippers.........
Wewe mtumishi mwaminifu wa majini, ulitaka kibadilike nini?
 
Huo ni uongo mnaongeza chumvi ili kusambaza sumu kwa raia, wewe usijifanye una akili kuliko wa bunge wote Tanzania na wewe sio mtaalamu wa mikataba.
Kwani Tanzania ina bunge? Au umaanisha hayo majizi yaliyojazana huko bila ya kupelekwa na wananchi. Mwizi siku zote hubakia mwizi.
 
Kwanini uliwachagua kuenda bungeni kama hawana akili, tujifunze kuheshimu viongozi wetu wa kikatiba na tu wapuuze hao chuma ulete.
Wewe uliyachagua hayo majizi yaliyopo Bungeni ambayo hata mahakama imewakataa kuwa siyo wawakilishi wa wananchi?
 
Hata wakipewa nakala kila kondo, hamna kitakacho badilika hawawezi kumyumbisha Raisi wetu hao waramba misalamba Tanzania ni kubwa kuliko hao idol worshippers.........
Kutukana watanzania wenye imani tofauti na yako ni upumbavu uliopitiliza wala hakuwezi kubadilisha ujumbe uliomo kwenye ule waraka wa kisomi, Kimisionari na kinabii
 
Kutukana watanzania wenye imani tofauti na yako ni upumbavu uliopitiliza wala hakuwezi kubadilisha ujumbe uliomo kwenye ule waraka wa kisomi, Kimisionari na kinabii
Matusi ni yapi mkuu?
 
Hata wakipewa nakala kila kondo, hamna kitakacho badilika hawawezi kumyumbisha Raisi wetu hao waramba misalamba Tanzania ni kubwa kuliko hao idol worshippers.........
Eti idol worshippers,,idol worshippers wapo kule macca wanakolizunguka lile jiwe anti clockwise hao ndio idol worshippers.Idol worshippers wamejaa huko kwenye masjid tawaqal wakiabudu majini na mapepo.
Waraka umesomwa Leo mara ya tatu
Mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom