Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Ili kupunguza kasiriko unaweza kalia tango tu!!Hao ndio kanisa takatifu .
No Nonsense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kupunguza kasiriko unaweza kalia tango tu!!Hao ndio kanisa takatifu .
No Nonsense.
Ficha ujinga wako walau kdg, yaan unataka kufananisha wenye halisi na wale wapiga meza makofi? Wao kila kitu kikiletwa mjengoni wao ni kushambulia zile meza kwa makofi tu!! Hawana impactwewe usijifanye una akili kuliko wa bunge wote Tanzania na wewe sio mtaalamu wa mikataba.
Unatetea nini????Hata wakipewa nakala kila kondo, hamna kitakacho badilika hawawezi kumyumbisha Raisi wetu hao waramba misalamba Tanzania ni kubwa kuliko hao idol worshippers.........
Hujatuita idol worshippers??walamba misalaba? Nakushauri usipende toa maoni juu ya mambo ya Iman ndo kiwango cha mwisho cha kumkosea mtu heshima .Mkuu mimi sijatukana mtu yoyote ila sipendezwi na jinsi hao watu wanao tumia vyeo vyao kuingilia masuala ya siasa kupotosha wa fuasi wao aliyakua wana jua kwamba wafuasi wao wengi ni ignorant and illetrate wana wafuata bila kuuliza chochote, ma lengo yao nikuleta political instability nchini.
Lisemwalo lipo dogo!Huo ni uongo mnaongeza chumvi ili kusambaza sumu kwa raia, wewe usijifanye una akili kuliko wa bunge wote Tanzania na wewe sio mtaalamu wa mikataba.
Na ndipo ujinga wake ulipo nadhani lengo la TEC sio kumyumbisha Mama abdul Ila wao wanamtetea kwa sababu ni mwenzaoLinaongozwa na mapenzi kwa dini yake
🤣🤣🤣🤣ila sisi wa misa ya kwanza saa 12 hatujasomewa, sijapenda
Mkuu kweli hilo ni tusi au ni sehemu ya ibaada yetu, angalia hiyo picha af unijibu.Hujatuita idol worshippers??walamba misalaba? Nakushauri usipende toa maoni juu ya mambo ya Iman ndo kiwango cha mwisho cha kumkosea mtu heshima .
Wakatoliki ni waramba misalaba?!Matusi ni yapi mkuu?
Nimetoka kanisani sasa hivi, Pafokia ya Mt Dominiko Mbezi Juu. Nathibitisha kuwa WARAKA wa TEC haujasomwa leoPengine nina uwezo mdogo sana wa kufikiri (sio kosa langu kwani elimu ni ndogo sana) lakini lazima niseme kuwa Sehemu hiyo inaonyesha ni kwa namna gani fasihi ni ngumu sana. Unaweza kujipanga weee kuachia kombora mara hamadi unakuta fasihi imebadilisha uelekeo wa kombora lako na kukurudia mwenyewe🤣🤣🤣
.......it fuckks you back just the same way it fuckks others!
● waraka unasomwa kwa mara ya ngapi vilee?!!! Hizo sio kelele?!! Uwafikie ujumbe huu huko?!!!
● Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, amesema chochote mpaka sasa?!!! Atumie ujumbe huu kudescribe wapiga kelele?!! Hapana, hawezi kwani ye ni kiongozi na amestaarabika.
Mimi nasema usomwe hadi October 2030 atakapomaliza muda wake.
Inawezekana kuna walichokiona (wamesikiliza maoni ya watu wenye akili walioonya kuwa kuna walichokosea katika waraka ule), au wanajiandaa kuja kivingine.Nimetoka kanisani sasa hivi, Pafokia ya Mt Dominiko Mbezi Juu. Nathibitisha kuwa WARAKA wa TEC haujasomwa leo
Hii kitu athari yake ni kubwa san hapa mbeleni na ni weny akili na focus ndio wataelewa!! But kwa wachumia tumbo na machawa hawawez elewa!!Unaweza kujiuliza kwanini TEC wakachagua kuusoma waraka wa kupinga kugawa bandari za Tanganyika kwa DPW kwa wiki sita na si pungufu ama zaidi?
Hili limekaa kiroho na kihesabu zaidi.. Dunia inaendeshwa na tarakimu na hesabu kupitia kanuni maarufu ya MAGAZIJUTO (BODIMUS)!
Mara sita inawakilisha siku sita za uumbaji, yaani siku sita za wiki.. Jumatatu mpaka Jumamosi! Kwahiyo ilipaswa waraka usomwe kila siku kwa siku sita mfululizo, lakini wanaosomewa ni waumini na waamini kanisani na siku pekee ya kuweza kuwasomea katika wingi wao ni siku ya ibada ambayo ni Jumapili
Kwahiyo ndio maana zikatengwa Jumapili sita mfululizo za kusomewa waraka husika, na leo hii ni Jumapili ya tatu
Waraka mpaka sasa umeonesha mafanikio makubwa sana! Dondoo zilizoandaliwa kisomi na kwa weledi mkubwa hazikutoka nje ya mstari wa katiba ya taifa
Zimejitokeza taasisi, vikundi na watu binafsi waliojaribu kuukosoa na kuupinga waraka lakini wakashindwa vibaya sana, kwakuwa badala ya kukosoa ama kupinga kilichomo kwenye waraka husika, wao wakaishia kutoa shutuma, kutuhumu na kukejeli watu binafsi, taasisi iliyoandaa waraka, imani ya waandaaji nk
Hawa wote walikuwa na haki kamili ya kufanya hivyo kwa mujibu wa katiba yetu, kakini kuna kila dalili kwamba hawakusukumwa na uzalendo na dhamira njema bali kwa maelekezo maalum na kwa malipo! Mbaya zaidi wakakurupuka sana na kuongea ujinga mtupu kisha haoo wakasepa zao kukinga mikono!
TEC hawakutetereka kwenye hilo na wala hawakuthubutu kunyanyua mdomo kujibizana nao! Walibaki na focus yao kukamilisha ratiba.. Na wanatambua wazi kwamba debe tupu haliishi kutika..!
Waraka wenye manufaa kwa watanganyika wote bila kujali
Itikadi zao
Imani zao
Makabila yao
Kipato chao nk nk unaendelea kusomwa leo kwa mara ya tatu, na ili kukamilisha ratiba bado mara zingine tatu. Wanaotumwa kuujibu kwa malipo wajitahidi kuujibu kwa hoja na si vioja
Watanganyika sio wapumbavu! Tunajitambua!!!!View attachment 2737210
Hii comments itunzwe mama hatashinda uchaguzi 2025Pengine nina uwezo mdogo sana wa kufikiri (sio kosa langu kwani elimu ni ndogo sana) lakini lazima niseme kuwa Sehemu hiyo inaonyesha ni kwa namna gani fasihi ni ngumu sana. Unaweza kujipanga weee kuachia kombora mara hamadi unakuta fasihi imebadilisha uelekeo wa kombora lako na kukurudia mwenyewe🤣🤣🤣
.......it fuckks you back just the same way it fuckks others!
● waraka unasomwa kwa mara ya ngapi vilee?!!! Hizo sio kelele?!! Uwafikie ujumbe huu huko?!!!
● Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, amesema chochote mpaka sasa?!!! Atumie ujumbe huu kudescribe wapiga kelele?!! Hapana, hawezi kwani ye ni kiongozi na amestaarabika.
Mimi nasema usomwe hadi October 2030 atakapomaliza muda wake.
Ni DPWSawa mzee lakini hao wawekezaji sio DPW
Wabongo bwana kuambiwa ukweli kwa maslahi ya Taifa ni kuyumbusha?muwe mnatumia akili bwana[emoji57]
Wapuuz hao,wausome mwaka mzimaa , rubbishUnaweza kujiuliza kwanini TEC wakachagua kuusoma waraka wa kupinga kugawa bandari za Tanganyika kwa DPW kwa wiki sita na si pungufu ama zaidi?
Hili limekaa kiroho na kihesabu zaidi.. Dunia inaendeshwa na tarakimu na hesabu kupitia kanuni maarufu ya MAGAZIJUTO (BODIMUS)!
Mara sita inawakilisha siku sita za uumbaji, yaani siku sita za wiki.. Jumatatu mpaka Jumamosi! Kwahiyo ilipaswa waraka usomwe kila siku kwa siku sita mfululizo, lakini wanaosomewa ni waumini na waamini kanisani na siku pekee ya kuweza kuwasomea katika wingi wao ni siku ya ibada ambayo ni Jumapili
Kwahiyo ndio maana zikatengwa Jumapili sita mfululizo za kusomewa waraka husika, na leo hii ni Jumapili ya tatu
Waraka mpaka sasa umeonesha mafanikio makubwa sana! Dondoo zilizoandaliwa kisomi na kwa weledi mkubwa hazikutoka nje ya mstari wa katiba ya taifa
Zimejitokeza taasisi, vikundi na watu binafsi waliojaribu kuukosoa na kuupinga waraka lakini wakashindwa vibaya sana, kwakuwa badala ya kukosoa ama kupinga kilichomo kwenye waraka husika, wao wakaishia kutoa shutuma, kutuhumu na kukejeli watu binafsi, taasisi iliyoandaa waraka, imani ya waandaaji nk
Hawa wote walikuwa na haki kamili ya kufanya hivyo kwa mujibu wa katiba yetu, kakini kuna kila dalili kwamba hawakusukumwa na uzalendo na dhamira njema bali kwa maelekezo maalum na kwa malipo! Mbaya zaidi wakakurupuka sana na kuongea ujinga mtupu kisha haoo wakasepa zao kukinga mikono!
TEC hawakutetereka kwenye hilo na wala hawakuthubutu kunyanyua mdomo kujibizana nao! Walibaki na focus yao kukamilisha ratiba.. Na wanatambua wazi kwamba debe tupu haliishi kutika..!
Waraka wenye manufaa kwa watanganyika wote bila kujali
Itikadi zao
Imani zao
Makabila yao
Kipato chao nk nk unaendelea kusomwa leo kwa mara ya tatu, na ili kukamilisha ratiba bado mara zingine tatu. Wanaotumwa kuujibu kwa malipo wajitahidi kuujibu kwa hoja na si vioja
Watanganyika sio wapumbavu! Tunajitambua!!!!View attachment 2737210
Tecc ni kikundi Cha nmagaidiEmpty sets replies[emoji23]
Siamini kuwa waraka umesomwa leo, kanisani kwetu hapa St Thomas More Mbezi Beach ulisomwa mara moja tu siku ya kwanza.Unaweza kujiuliza kwanini TEC wakachagua kuusoma waraka wa kupinga kugawa bandari za Tanganyika kwa DPW kwa wiki sita na si pungufu ama zaidi?
Hili limekaa kiroho na kihesabu zaidi.. Dunia inaendeshwa na tarakimu na hesabu kupitia kanuni maarufu ya MAGAZIJUTO (BODIMUS)!
Mara sita inawakilisha siku sita za uumbaji, yaani siku sita za wiki.. Jumatatu mpaka Jumamosi! Kwahiyo ilipaswa waraka usomwe kila siku kwa siku sita mfululizo, lakini wanaosomewa ni waumini na waamini kanisani na siku pekee ya kuweza kuwasomea katika wingi wao ni siku ya ibada ambayo ni Jumapili
Kwahiyo ndio maana zikatengwa Jumapili sita mfululizo za kusomewa waraka husika, na leo hii ni Jumapili ya tatu
Waraka mpaka sasa umeonesha mafanikio makubwa sana! Dondoo zilizoandaliwa kisomi na kwa weledi mkubwa hazikutoka nje ya mstari wa katiba ya taifa
Zimejitokeza taasisi, vikundi na watu binafsi waliojaribu kuukosoa na kuupinga waraka lakini wakashindwa vibaya sana, kwakuwa badala ya kukosoa ama kupinga kilichomo kwenye waraka husika, wao wakaishia kutoa shutuma, kutuhumu na kukejeli watu binafsi, taasisi iliyoandaa waraka, imani ya waandaaji nk
Hawa wote walikuwa na haki kamili ya kufanya hivyo kwa mujibu wa katiba yetu, kakini kuna kila dalili kwamba hawakusukumwa na uzalendo na dhamira njema bali kwa maelekezo maalum na kwa malipo! Mbaya zaidi wakakurupuka sana na kuongea ujinga mtupu kisha haoo wakasepa zao kukinga mikono!
TEC hawakutetereka kwenye hilo na wala hawakuthubutu kunyanyua mdomo kujibizana nao! Walibaki na focus yao kukamilisha ratiba.. Na wanatambua wazi kwamba debe tupu haliishi kutika..!
Waraka wenye manufaa kwa watanganyika wote bila kujali
Itikadi zao
Imani zao
Makabila yao
Kipato chao nk nk unaendelea kusomwa leo kwa mara ya tatu, na ili kukamilisha ratiba bado mara zingine tatu. Wanaotumwa kuujibu kwa malipo wajitahidi kuujibu kwa hoja na si vioja
Watanganyika sio wapumbavu! Tunajitambua!!!!View attachment 2737210
TPA wameshaweka tangazo kwenye mitandao juu ya kutafuta mwekezaji mpya wa kuendesha magati namba nane mpaka kumi na moja. Hayo yote uliyoandika yanakosa mashiko ikiwa anatafutwa mwekezaji hata kama ni kampuni ya kizalendo.Usomwe hadi Oktoba 2025
Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...www.jamiiforums.com
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?