Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

Eti idol worshippers,,idol worshippers wapo kule macca wanakolizunguka lile jiwe anti clockwise hao ndio idol worshippers.Idol worshippers wamejaa huko kwenye masjid tawaqal wakiabudu majini na mapepo.
Waraka umesomwa Leo mara ya tatu
Mpaka kieleweke.
Mkuu acha jaziba, wewe kama huwezi kupiga magoti na kuomba baraka kwa sanamu la bikira maria tuache sisi tuabudi hivyo hivyo........hapa hao TEC wanachokoza state wanalo tafuta watalipata tu.
 
Kama hawa kuchaguliwa mbona hatukuona waraka kutoka kanisani wakumshauri au kumlaani alio wa teuwa bila kuchaguliwa, tukiwambia hao watu ni wadini amna uzalendo wowote mnabisha.
Safi sana. Waeleze kwanini hawakuandika waraka kupinga wizi wa kura kama kweli hao wabunge hawajachaguliwa. Na kama wamechaguliwa kiuhalali hao wabunge ndiyo wawakilishi wa wananchi na sauti Yao ndiyo sauti ya wananchi waliowachagua na sio hao wapumbavu wanaojifungia makanisani na kuandika vipeperushi vya udaku eti na kuvibatiza jina la SAUTI YA WENGI. Sauti ya wengi ni sauti ya wabunge waliotumwa na wananchi kuwawakilisha kwa niaba Yao.
 
Endeleeni na kazi njema ya kanisa, wengi sasa tunaelewa👇🏾

Huo ni uongo mnaongeza chumvi ili kusambaza sumu kwa raia, wewe usijifanye una akili kuliko wa bunge wote Tanzania na wewe sio mtaalamu wa mikataba.
Haya ya kuwa siyo mtaalamu wa mikataba, ndo hoja ya kuhalalisha ujinga? Kuna vitu kwenye mkataba ule havihitaji utaalamu wa juu.
 
Msiyofahamu maana ya falsafa ya R 4 za mama Samia, nawashauri pitieni uzii huu hapa chini:

Msiyofahamu maana ya falsafa ya R 4 za mama Samia, nawashauri pitieni uzii huu hapa chini:

Hata wakipewa nakala kila kondo, hamna kitakacho badilika hawawezi kumyumbisha Raisi wetu hao waramba misalamba Tanzania ni kubwa kuliko hao idol worshippers.........
Kuheshimiana kwa tofauti zetu na uvumilivu wa kiimani ndo umefikia hapa ..kwani ule waraka umetukana mtu au dini?? Wapi kwenye waraka wamesema wao wamuhimu kuliko wengine? Mm sio muislamu lakini siwezi mvumilia mtu ataekashifu dini yao .ukiwa na jambo na uislamu wafate masheik wenye elimu wamejaa.unataka hoji ukatoliki milango ya maparoko iko wazi hata saa 8 usiku.umenisikitisha!
 
Mkuu mimi sijatukana mtu yoyote ila sipendezwi na jinsi hao watu wanao tumia vyeo vyao kuingilia masuala ya siasa kupotosha wa fuasi wao aliyakua wana jua kwamba wafuasi wao wengi ni ignorant and illetrate wana wafuata bila kuuliza chochote, ma lengo yao nikuleta political instability nchini.
 
Back
Top Bottom