Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

Mwaka? Unawaona TEC wanaakili zenu wala nguruwe kwa kujificha? Iyo 6 weeks umeshaambiwa ni no kiroho na wanajua, mamaako kashavurugwa big time hata kama ni sikio la kufa litazibuka na atakuja kuongea tu
Serikali hairogwi wewe acha ushamba
 
Mkuu hawa watu wanaojiita wakatoliki ni hasara kwa familia zao hadi kwa taifa.

Wataka unaosomwa hautabadili chochote ni sawa na kujiaibisha tu. Huo ni udini wanaleta lakini enzi za awamu ya tano hao hao sijui TEC waliufyata kwa kufumbia macho mambo ya hovyo yaliyokuwa yanaendelea badala yake walibaki kusifia kila kitu.

Wao wana mkataba na serikali usio na ukomo wa kupokea mabilioni ya fedha kila mwezi yanaishia kuliwa na mapadri/maaskofu lakini upande wa pili wamekaa kimya tu hawataki zogo.

Hata usomwe kila siku suala la uwekezaji lipo pale pale hatuwezi kuwaachia mafisadi wachache wanaolifilisi taifa kwa kupitisha magendo bandarini kwa mgongo wa msamaha wa kodi kwa taasisi za kidini.
 
Nchi haina rais wewe fala
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.

Ukitaka ndo hivyo usipotaka ndo hivyo hivyo.

Dunia nzima inamtambua ndiye Rais wa nchi hii sasa wewe kapuku tu usipotambua hilo kikubwa unalipa kodi zinazopitishwa na serikali hii hakuna shida.
 
Asante kwa kumjibu huyo mpumbavu
Tatizo lako la kutosoma Uraia na Civic ili tu angalau ujue namna Rais wa nchi anavyopatikana kwa njia mbalimbali basi usingeongea ujinga huu.

Najua mambo ya general studies kwa advance ama mambo ya Sheria kwa level ya chuo ni kitu kilichokuzidi kimo huwezi kufika huko ambapo ungejua Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amepatikanaje.

Huyu ni Rais halali anayetambulika na katiba yetu pamoja na sheria za kimataifa ndiyo maana anasafiri popote na kupokelewa kwa itifaki zote kama Rais yeyote duniani.
 
Someni mwaka mzima
Mkuu sio mwaka tu wasome hata hadi 2030 Rais Samia atakapostaafu.

Wanadhani itasaidia chochote kusoma kwao huo waraka uchwara. Tunajua mianya ya magendo wanayotumia pale bandarini kwahiyo uwekezaji mpya utaenda kuziba mianya hiyo ndiyo maana unasikia makelele yote haya.
 
Nimecheka kweli, wale darasa la 7 pale
Bungeni wawe na akili kunizidi mimi?! [emoji1787][emoji1787][emoji16]
Ndo wamekuzidi akili sasa. Hapo mwenye akili atahesabiwa ni aliyepo madarakani sio wale wanaopuyanga mtaani wasaka tonge.
 
Mujahideen wengi ndio walipita bila kupingwa

Walipitishwa kuweka usawa [emoji1][emoji1][emoji91][emoji209]
Huko Mbeya, Hai, Arusha na kanda ya ziwa waliopitishwa ni wa imani gani vile?

Hao ni kwa uchache tu.

Kwahiyo kwa vile waliopitishwa kwa mujibu wako ni wajaheedin manake TEC hawakuona haki imeminywa kwa Watanzania wakaandika waraka kukemea?

Ama wao haki ni nini hasa kwa tafsiri yao?
 
Bado mara tatu kukamilisha ratiba.. Tuvumiliane
 
TEC Ndio sehem ya watawala vivuli wa nchi hapa kwetu,wanaripoti KWA kadinali na papa kule Vatican!!

Niliposikia kuwa wametoa waraka NIKAJUA kumekucha!

Mama akaamua ku spin waraka KWA teuzi mpya HAYA za naibu waziri mkuu lakini msimamo upo pale pale!!

Waraka yanaendelea hadi sasa!!
 
... duh; kama tangazo la ndoa! Ili wenye pingamizi na uchumba huu watoe taarifa mapema. Kazi kwenu wananchi.
Kule be Tanga leo kwenye kuapishwa askofu mpya sikusikia waraka ukisomwa.
 
Kule Tanga Waziri Mkuu amehudhuria kusimikwa kwa Askofu wa Jimbo la Tanga leo Sept 03. Sasa najiuliza waraka umesomwa mbele ya Waziri Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…