Hapo ndiyo shida yenu wenye akili ndogo inapoanzia. Unadhani kila anaye sapoti CCM ni mgombea au mnufaika. Itoshe tu kukusanua kuwa hizo NRNE ni upuuzi.
Ulimwengu wa njozi huoUchaguzi hao watu mbona hawataufikia🤣
Yaani mipango yote,plan zote kujichosha tu
Acha kujidai mwendawazimu wakati una akili timamu.Nani kakuambia CCM iko peke yake? Yaani hujaona ACT, NLD, TADEA, CUF, CHAUMMA etc
Hizo siyo shida zetuAcha kujidai mwendawazimu wakati una akili timamu.
Hivyo vyama vilivyoundwa na CCM, na vinafanya kampeni kwa udhamini wa CCM unaita ni vyama vya upinzani?
Tangazeni kuwa hao wabunge waliopitishwa kugombea kuwa ni washindi, mtangaze na hayo majimbo mliyopanga kuwaachia CHAUMA halafu Samia mitano tena.
Acheni kutupotezea muda.
Mzoga mwenzio, anaye jitambulisha kama 'Steven Joel Ntamusana' anapenda sana kuitumia hoja hii ya kumchukia Samia Suluhu Hassan; na nilisha mjibu karibu mara tano hivi, na huwa hachoki kuniletea hoja hiyo kila mara.Huna unalijuwa zaidi ya chuki kwa utawala wa Samia. Utakufa kwa kijiba cha roho
Una uhakika kwamba ni mzima kiakili???Huna akili njaa zinakusumbua mboga mnaturudisha nyuma
Kama ni "chuki" usifikiri hilo litanitikisa kwa vyovyote. Ndiyo ninayo chuki kabisa kwa watu wa hovyo kabisa kama mlivyo nyinyi; watu mnao chochea CHUKI miongoni mwa waTanzania.Wewe mwenyewe ni mzoga na unanuka unawezaje kujua harufu ya mzoga. Jitu zima limetawaliwa na chuki utafikiri linakula sementi badala ya chakula. Mada za chuki kuanzia asubuhi mpaka jioni. Kufa na umaskini wako, hata Heche na Lissu wakipata madaraka hawatakuletea chakula mezani.
Fanya kazi ndugu, acha ubingwa wa mawazo ya JF
Yaani jamaa anawaona wazungu kama miungu wake. Mara mmemfukuza sijui jaji mkuu wa Kenya basi mmekwisha, mbona Tanzania haijaisha na wao huko wako na matatizo yao yanawashinda.Baadae mtu analaumu wazungu kwa umaskin wake ilihali hapa yupo anatetea wates wake
NRNE sio ya wanaharakati. Jirekebishe wewe chawa!View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Endeleeni na tonetoneAcha kujidai mwendawazimu wakati una akili timamu.
Hivyo vyama vilivyoundwa na CCM, na vinafanya kampeni kwa udhamini wa CCM unaita ni vyama vya upinzani?
Tangazeni kuwa hao wabunge waliopitishwa kugombea kuwa ni washindi, mtangaze na hayo majimbo mliyopanga kuwaachia CHAUMA halafu Samia mitano tena.
Acheni kutupotezea muda.
Waendelee na tone tone ili iweje?Endeleeni na tonetone
Wewe jamaa ni mpumbavu sana. Ulitegemea waingie kwenye uchaguzi kwenda kuidhinisha ule ungese wa 2019, 2020 na 2024 !? Wewe kweli punga.View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Ni shida zenu, maana ndiyo mnaohangaika kutengeneza maigizo, sisi tunawadele tu.Hizo siyo shida zetu
Kwa hiyo tayari uchaguzi umeisha tuanze kushangilia?View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Utakufa na kijiba cha roho na umaskini wako. KwendraaaaMzoga mwenzio, anaye jitambulisha kama 'Steven Joel Ntamusana' anapenda sana kuitumia hoja hii ya kumchukia Samia Suluhu Hassan; na nilisha mjibu karibu mara tano hivi, na huwa hachoki kuniletea hoja hiyo kila mara.
Sasa na wewe unaileta hapa na nitakujibu; na naomba usiniletee hiyo hoja tena.
Ni hivi: ni kweli kabisa ninamchukia Samia Suluhu Hassan; kama vile vile ningemchukia kiongozi mwingine yeyote anaye itendea maovu Tanzania na waTanzania.
Sina lolote la kumpendea kiongozi anaye vuruga utulivu wa nchi hii.
Umenielewa?
Tunatiki Oktoba na huna la kutufanya. BladifakeniWewe jamaa ni mpumbavu sana. Ulitegemea waingie kwenye uchaguzi kwenda kuidhinisha ule ungese wa 2019, 2020 na 2024 !? Wewe kweli punga.
Binafsi uchaguzi wa 2020 ndio ulikuwa wa mwisho kupiga kura, huo wa 2024 nilijua itakuwa ungese ule ule, na ni kweli, kile nilichokihofia ndicho kilitokea. niliokoa muda wangu kwa kufanya mambo yangu mengine. Nyie ccm ni wangese sana. Qmmmae zenu.
Mageuzi huanza moyoni na akilini kumbuka hiyo na uitunze.Hiyo ngoma inatisha kwenye mitandao tu, huku ground watu wanasubiri kinyang'anyiro kianze
Hayo uliyojibu uyakumbuke.Hata viwe vipande 50, bado CCM will prevail. Nchi yetu haiwezi kuongozwa na genge la CHADEMA