Ratiba ya Ngao ya Jamii hii hapa, kupigwa jijini Tanga

Hivi si tuliambiwa bingwa atacheza na WA nne,wa pili na WA tatu!?
 
Hatimae TFF wameachia ratiba ya Ngao ya Jamii kwa timu nne ambazo ni Yanga, Simba, Azam na Singida. Mechi zote kupigwa katika dimba la Mkwakwani kuanzia August.

Kwa ratiba hii unamuona nani akiwa bingwa?
View attachment 2681709
Wote nsona usajili ni mzuri, ushindani ni mkubwa, ni vigumu kutabiri kwa usahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…