Ratiba ya Ngao ya Jamii hii hapa, kupigwa jijini Tanga

Ratiba ya Ngao ya Jamii hii hapa, kupigwa jijini Tanga

Hatimae TFF wameachia ratiba ya Ngao ya Jamii kwa timu nne ambazo ni Yanga, Simba, Azam na Singida. Mechi zote kupigwa katika dimba la Mkwakwani kuanzia August.

Kwa ratiba hii unamuona nani akiwa bingwa?
View attachment 2681709
Hivi na ulaya mchakato wa ngao ya jamii huwa upo kama huu ?
 
Huo uwanja utakuwa kwenye hali gani ikifika fainali? Hizi mechi zingetawanywa hata viwanja viwili tofauti.
 
Sitapoteza muda wangu kufuatlia mashindano haya kwa sababu najua tayari kuwa Bingwa ni Yanga
 
Back
Top Bottom