Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karia anatoka Tanga ndugu yangu. So nyumbani kwanza.TFF ni makuzi sana yaani mechi zote 4 Tanga!?
Wamechukua mfumo wa spain.wanatumia huyo km miaka 3 hiviHivi na ulaya mchakato wa ngao ya jamii huwa upo kama huu ?
Wanakwepa cost nduguMechi moja ingechezw hpo mkwakwan nyingine arusha final dar
Tff wengi pale vichwa vyeupe
Mna uhahaba wa makombe hadi community shield unadhani ni kombe?
Naskia anataka ubunge kuleKaria anatoka Tanga ndugu yangu. So nyumbani kwanza.
Kituo cha michezo cha Tff kipo wapi? Dsm na Tanga.
Sio kila siku ni jumapiliBingwa ni yanga au kuna mwingine
Ficha ujinga, unajua super cup ya spain( ngao ya jamii) ndio tumeiga huo mfumoHii ni hapa tu kwa Wallace Karia
Waache kukariri!!!!!!!Ficha ujinga, unajua super cup ya spain( ngao ya jamii) ndio tumeiga huo mfumo
Tatizo mnafatilia tuu EPL
Wamekariri tuu Uingereza na kupenda kulaumulaumu tuu.Waache kukariri!!!!!!!
The Spanish Super Cup, changed from a two-team format to a four-team football tournament in 2019-20, features the winners and runners-up of La Liga and Copa del Rey.
Barcelona are the most successful team at the Spanish Super Cup football tournament with 13 titles.27 May 2023
Spanish Super Cup 2022-23 final: Real Madrid vs Barcelona ...
https://olympics.com › news › supercopa-de-espana-202...
Ulaya ina nchi zaid ya 30 Braza tena Zina taratibu tofaut kwenye kuendesha mpiraHivi na ulaya mchakato wa ngao ya jamii huwa upo kama huu ?
Mbna kwenye parade mlisema ni treble?? Km mnajua sio kombeeKumbe ngao ni kombe
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si naskia kuna timu imechukua trebo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyinyi wakati manasema mmebeba makombe matatu, mlikuwa mnamaanisha nini?
Au neno "Treble" lina maana gani sikuhizi?
Ungejibu tu kama ni kombe au sio basi hayo mengine kaa nayoMbna kwenye parade mlisema ni treble?? Km mnajua sio kombee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mataji.Nyinyi wakati manasema mmebeba makombe matatu, mlikuwa mnamaanisha nini?
Au neno "Treble" lina maana gani sikuhizi?