mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 641
- 600
Kuwa na frame ya kuuza nyama ya nyani sio uhakika wa kufanya biashara kwa Tanzania hii, ata soko la dhahabu ofisi ipoNa ATCL Wana Booking office kabisa pale Chato nimewahi kuziona pale lakini mtu anatema nyongo hapa kuwa uwanja umegeuzwa kuanikia mpunga.
Wabongo wanafika sana.
[emoji106]Booking office inapanda ndege?
Hata mataa ya kuongozea magari yapo pale lkn do they serve any purpose?
Ukienda benki ma teller wanachati tu kwenye simu zao.
Hotel occupancy is less than 30%•
Laws of demand and supply ndio Zina influence business, never politics.
Unaongea huku umepakatwa na AmsterdamUjenzi wa Chato airport tumeingizwa chaka sema ndio hivyo tu watu kwa maana ya viongozi wanaona haya kulisema wazi lakini ukweli pesa imepotea kwa sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.
Chadema yana laanaAisee habari njema sana hizo thanks kwa update. Na bado mijamaa hiyohiyo itakuwa ya kwanza kupeleka barua za maombi ya kazi kiwanda kikitangaza ajira.
Alaaniwe mke wa Amsterdam huko ubelgiji kwa kupotosha watu.Jamani acheni upotoshaji, hiyo route ipo kila wiki na abiria wapo wa kutosha ukijumlisha na wale wa Mwanza. Huduma hiyo kwa wasafiri wa Biharamlo,Ngara, Kakonko, Nyakanazi na Kibondo ni kiunganishi kizuri na Dar es salaam.
Mkuu ubinafsi unaousema umesaidia baadhi ya maeneo yaliyosahaulika lakini yanafanya kazi zake kwa ukaribu na Dar es salaam. Mfano, Kuna makambi ya wakimbizi matatu pale Kibondo.Ujenzi wa Chato airport tumeingizwa chaka sema ndio hivyo tu watu kwa maana ya viongozi wanaona haya kulisema wazi lakini ukweli pesa imepotea kwa sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.
KIBONDO- CHATO kwa gari ni nusu ya Safari yaJamani acheni upotoshaji, hiyo route ipo kila wiki na abiria wapo wa kutosha ukijumlisha na wale wa Mwanza. Huduma hiyo kwa wasafiri wa Biharamlo,Ngara, Kakonko, Nyakanazi na Kibondo ni kiunganishi kizuri na Dar es salaam.
Kwani Mwenge unazimwa mwezi mzima?Hizo safari hazitamaliza hata mwezi kabla ya kuvunjwa.
Nakuya tarehe moja ba Novembre nadhani itakuwa ba lundi.Fiktoria saita ...ukuye Mwanza nikupe sato
Dar to Kibondo kupitia Chato kwa ndege ni masaa 7?Mkuu ubinafsi unaousema umesaidia baadhi ya maeneo yaliyosahaulika lakini yanafanya kazi zake kwa ukaribu na Dar es salaam. Mfano, Kuna makambi ya wakimbizi matatu pale Kibondo.
Safari ya basi kutoka Dar-Kibondo ni masaa 20 na ni lazima ulale Kahama. Lakini kwa ndege kupitia Chato ni masaa 7 tu. Unaondoka Dar asubuhi, jioni kwenye saa mbili uko location.
Mimi nipo uswahilini ndugu sijawahi kufika huko lakini nina haki ya kukosoa pale ninapoona kunastahili kukosolewa iwe ccm au wapinzani.Unaongea huku umepakatwa na Amsterdam
Kuna tofauti kubwa sana kati ya ukweli na matusi, jamaa kasema ukweli. Na mimi nakuuliza tena, je zimeshakauka underwear za wakili wetu msomi mlami?Matusi ni dalili ya kukosa point au empty head.
Umeshawahi kuona waungwana wakitukana?
Matusi ni maneno yasemwayo na Malaya na walevi wa pombe chafu. Wewe Ni mwanamke Malaya na mlevi wa pombe chafu.
Unaskika na huku umeweka picha! Sio kwamba unaona! Ujinga ni mzigo, vya kusikia changanya na vyakako.
Maji yakishamwagika hayazoleki tutatafuta chochote kuhalalisha makosa yaliyokwisha fanywa na hiyo ndio ile niliyosema wakubwa wanaona haya kumsema vibaya mkubwa mwenzao.Mkuu ubinafsi unaousema umesaidia baadhi ya maeneo yaliyosahaulika lakini yanafanya kazi zake kwa ukaribu na Dar es salaam. Mfano, Kuna makambi ya wakimbizi matatu pale Kibondo.
Safari ya basi kutoka Dar-Kibondo ni masaa 20 na ni lazima ulale Kahama. Lakini kwa ndege kupitia Chato ni masaa 7 tu. Unaondoka Dar asubuhi, jioni kwenye saa mbili uko location.
Ubinafsi mbaya sana jamaa katumia fedha za umma kwa malengo yake binafsi.
Mambo ya kuzima mwengeKuna nini huko?