The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
Inavutia sana hii story...kuna mafundisho mengi sana humo yanapatikana...asante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona Lissu.“Kuna gharama za uzalendo”
Me kuna kitu kinanichanganya, mwaka 2006 kuna mkorea anaitwa Moo Ko-Suen alikamatwa anataka inunua F-16 na black hawk down helicopter!.. Hivi kwa wenzetu mtu binafsi anaweza miliki jet fighter yake!?..
Me kuna kitu kinanichanganya, mwaka 2006 kuna mkorea anaitwa Moo Ko-Suen alikamatwa anataka inunua F-16 na black hawk down helicopter!.. Hivi kwa wenzetu mtu binafsi anaweza miliki jet fighter yake!?..
Profile yake jamaa ni mfanyabiashara sasa alikuwa ananunuaje kama yeye, let assume hiyo biashara ipo sio wa kwanza yeye!..Huyu Moo ko-suen nafahamu kuwa alikuwa kwenye mipango ya kununua si tu helicopter mpaka makombora pia..Alidakwa na undercover wa US wakimhisi ni agent wa China.
Profile yake jamaa ni mfanyabiashara sasa alikuwa ananunuaje kama yeye, let assume hiyo biashara ipo sio wa kwanza yeye!..
Ina maana wanaweza miliki?
Lakini F-16 haiwezi kuwa decomissioned so soon kama hivyo zile bado ni reliable fighter planes!. Au Black hawk helicopter na naamini ukiwafatilia hao bidder huwezi kuta ni mtu binafsi more so akiwa ni binafsi basi anapanga kuibadili kuwa for civilian uses!..sasa F-16 a fighter jet inaweza vipi tumika kwa matumizi ya kiraia!?..[emoji2]Kwa uelewa wangu mdogo kuna taasisi ya Serikali ya Marekani inayojitegemea GSA (General Services Administration) ambayo inashughulika na kusaidia utendaji kazi wa Federal agencies nyingine katika shughuli zao za kila siku kwa kutoa mawasiliano,usafiri,vifaa mbalimbali na shughuli za ugavi pamoja na kushauri na kutengeneza sera za matumizi nafuu.
Mara kadhaa vifaa vya jeshi vinapokuwa ''decommissioned'' (kutolewa kwa mifumo ya kivita na silaha) au kunapokuwa na surplus huwa wanafanya minada na kuziuza ambapo watu binafsi wanaruhusiwa japo kwa masharti kuweza kuzimiliki.Leseni ya urubani wa anga na declaration ya End user certificate ambapo utatakiwa utoe taarifa zako binafsi na matumizi ya kifaa hicho unachotaka kukinunua na kuzituma Department of Defence ambao wanafanya usaili yakinifu na ukiridhiwa utakuwa tayari kununua.Mshindi wa mnada ni lazima athibitishwe na Department of Defence kuweza kuondoka na kifaa chake.
Kutokana na masharti magumu pamoja na gharama za vifaa hivyo wanunuzi ni wachache.Mfano kuna Black Hawk UH-60A
iliuzwa USD 667,000 kwenye mnada ambao unabid deposit ya USD 100,000.Kulikuwa na bidders 4 tu na hii ni mwaka 2016.
Lakini F-16 haiwezi kuwa decomissioned so soon kama hivyo zile bado ni reliable fighter planes!. Au Black hawk helicopter na naamini ukiwafatilia hao bidder huwezi kuta ni mtu binafsi more so akiwa ni binafsi basi anapanga kuibadili kuwa for civilian uses!..sasa F-16 a fighter jet inaweza vipi tumika kwa matumizi ya kiraia!?..[emoji2]
Anyway unawapata paramilitary wa Usa wanajiita 3 percenters au wale Oath Keepers!?..
Bahati mbaya sana walio wengi ambao tunasoma historia zao ni wale waliokamatwa wakiwa kwenye kutekeleza majukumu yao.Kwanini majasusi wengi huishia kufa kifo kibaya hivi??
afe mmoja kwa maslahi ya wengi,haijalishi uliifanyia nini nchi yako...ulichokifanya kitabaki kumb ya uzalendo kwenye kuta za ofisi....
Military Grade Weapons huwa zinanunuliwa na watu binafsi kupitia Black Market ili kukwepa mkono wa sheria pindi wanakamatwa na vyombo vya Usalama. Kwasababu kuna mikataba ya kimataifa ambayo inazuia kabisa uuzwaji holela wa silaha za kivita.Me kuna kitu kinanichanganya, mwaka 2006 kuna mkorea anaitwa Moo Ko-Suen alikamatwa anataka inunua F-16 na black hawk down helicopter!.. Hivi kwa wenzetu mtu binafsi anaweza miliki jet fighter yake!?..