Nani kakuambia mateja wana muda wa kujisavia shingo ya kizazi wakati starehe yao ni hiyo sukari laini tu dada yangu.Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.
Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Nani kakudanganya?Nani kakuambia mateja wana muda wa kujisavia shingo ya kizazi wakati starehe yao ni hiyo sukari laini tu dada yangu.
Na nguvu ya kufanya shughuli hiyo anaitoa wapi kama ulimuona Chid ndio utaelewa vizuri
Wanajipakulia tu, wengine utumbo, wengine kisamvu wengine steki, wengine ulimiMungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.
Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Alafu bila zanaMungu wangu!

Huyu anafutika kama anaendekeza cocaMwanadada Ray C amekimbizwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili asubuhii hii akiwa mahututi. Ugonjwa unaomsumbua haujajulikana, amewahishwa hospitalini hapo asubuhi hii na kaka yake Tony pamoja na mama yake baada ya kupigiwa simu wamfuate huko Kinondoni.
Tuendelee kumuombea kheri dada yetu.
.. SimuombeiTumuombee msanii wetu apone
Princess. Ukiponyoka kwenye Unga Ukimwi Unaanza, Maana Unga na Ukimwi ni Mtu na Mdogo Wake, maana wakisha Maliza Kubwia wanaanza Kushugulikiana. Sasa hapo Kuna kau salama Princess Nifaa?Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.
Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Nani kakudanganya?
Mimi nimewahi kuwa na ukaribu na mateja fulani.
Maana mimi napenda sana kudadisi,waliniambia mengi sana ambayo ningeambiwa na watu tofauti nao (mateja) nisingeamini.
Hayo mambo wanayafanya sana tu,pole zako kama unadhani nao 'hawaponi'.
Asante kwa taarifa mkuu. (Kama ada yetu hapa JF) chanzo cha habari umekitoa wapi mkuu?Mwanadada Ray C amekimbizwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili asubuhii hii akiwa mahututi. Ugonjwa unaomsumbua haujajulikana, amewahishwa hospitalini hapo asubuhi hii na kaka yake Tony pamoja na mama yake baada ya kupigiwa simu wamfuate huko Kinondoni.
Tuendelee kumuombea kheri dada yetu.